Mwanamke anatafutwa

Mwanamke anatafutwa

uwanja wa firi, sewa na kimboka, kwa dar. Km upo Arusha aelekee Shivas, mrina au makao mapya, atachagua m1 hapo
Mkuu nami namwongezea kama yupo moshi malindi, pub alberto au dar street kutamfaa.
tanga cine club au nyinda
 
1. An Jaluo
2. An gi iga pierariyo gabich
3. Atieko form four
4. An Japuonj primary

Lakini sikutaki kwa sababu hauonyeshi kama uko na nithamu!
wacha loho mbaya, maisha ni kusaidiana/
 
Yap makanisani nawaogopa sana coz wana woga but not respectfull but for sure im very serious
 
Natafuta mwanamke wa kuoa, sifa ya kwanza awe mjaluo, Umri 22.'-26. Mwenye nidhamu na atleast elimu ya f4 au mwalimu msingi.
Aliye tayari tuwasiliane.

Kwa hiyo moja kwa moja unataka mwanamke alietahiriwa, fafanua zaidi ili tukusaidie kwa hili
 
Natafuta mwanamke wa kuoa, sifa ya kwanza awe mjaluo, Umri 22.'-26. Mwenye nidhamu na atleast elimu ya f4 au mwalimu msingi.
Aliye tayari tuwasiliane.
Utapata usijali.

 
I just need a connection or just a starting point. Things will in on later
 
kwanza kitendo cha kusema mwanamke anatafutwa anaonesha yeye hana nidhamu kwani mwanamke amekuwa kiwanja au kifaa tumia lugha ya kuonesha thamani na utu wa mtu
 
ANg4ma manuar adwaro dhako nyar pacho
 
image16.jpg
image21.jpg

huyu mchina
 
1. An Jaluo
2. An gi iga pierariyo gabich
3. Atieko form four
4. An Japuonj primary

Lakini sikutaki kwa sababu hauonyeshi kama uko na nithamu!

ok fine but mimi siô mjaluo but i just like my mums tribe
 
Back
Top Bottom