Mwanamke anataka malipo

clemencemlai

Member
Joined
May 3, 2010
Posts
24
Reaction score
2
Kuna mwanamke nimemuowa ananiumiza kichwa sana , eti anataka kwa kila jambo afanyalo kwangu antaka apewe pesa
hiyo achilia mbalin malupu lupu mengi ne mbali na mshahara wa mwezi. nimejitahidi sana lakini nimeshindwa kwani kama hivyo ndivyo basi kima cha chini cha ni sh ngapi? sipati mechi kabla yakulipa au niahidi lini nitalipa.au nitakaa hivyo hivyo mpaka nipate pesa
 

Kwa hiyo umeileta hapa ili iweje?
 
Sasa mwenzako anafanya biashara alafu wewe unataka kumletea hasara? Endelea kulipa au ukose huduma.
 

Pole kiongozi ila nina maswali kidogo;

Kabla ya kuona mekaa mda gani kwenye mahusiano ie mlichunguzana vya kutosha
Utalipaje tendo la ndoa kama ni mkeo halali?
Mlifunga haruc/ndoa kanisani/msikitin?
Mna mda gani kwenye hiyo ndoa yenu?
Mlikutana wapi (Bar/Club/Kwenye danguro)........
Nitakushauri baada ya majibu ya maswal hapo juu
 
Ni mkeo au mpnz wako?
Km ni mke mmmmhh?hapo nimeishiwa nguvu!!!
Inategemea ulimzoesha vp tangu siku ya kwanza!
 
ka ni mkeo basi ulimpata kwa njia hiyo na ulimzoesha hivo kila mkutanapo baada ya ngono unamliapa.

ka ni mpenzi,epuka kupay 4 sex.
 
Kabla ya kuona mekaa mda gani kwenye mahusiano ie mlichunguzana vya kutosha
Sidhani kama walizingatia habari za kuchunguzana..utakuta mtoto kajazia ndicho alichoridhika nacho.
Utalipaje tendo la ndoa kama ni mkeo halali?
Hapo sasa,nadhani ndoa yao haikuwa na maadili ya dini...au mkewe hana dini so hajui umuhimu wa tendo kwenye ndoa.
Mlikutana wapi (Bar/Club/Kwenye danguro)........

Hapo ndio penye jibu lenyewe...nahisi jibu litakuwa ndio...mwanamke mstaarabu anaye yajua majukumu yake ya ndoa hawezi kadai pesa kutoka kwa mumewe baada ya tendo wakati ule ni wajibu wake.
 
Wabongo kwa kutunga tunaongoza

Kuna watu wanapenda kuona sthreads zao zinachangiwa na idadi kubwa ya watu. Kwa kuwa watu wengi hupenda kucomment threads za mapenzi, hivyo wanalazimika kutunga uongo tena wao ndio watendwa ili watu wawaonee huruma
 
hata km mnatunga stori angalia bc stori inayoendana na ukweli..
mkuu upo sahihi, hii inaendana na ule msemo "better keep quite than speaking and remove all doubts" kama sijakosea
 
Hata km mnatunga stori angalia bc stori inayoendana na ukweli..
hao wenyewe huwa wanaongea wakiwa uchi, nakama hutaki hutapata ukweli wajambo hilo na maguo yako. kwanza vua na utaona ukweli
 
Wabongo kwa kutunga tunaongoza
wewe watu wanateswa kwa namna mbali mbali ,nahujikaza kisabuni midume mingi,wengine hutafuta mahali pa kukaa muda uende . nahilo limetungwa nanani? mwanaume mwenzenu anateswa .msimdhihaki
 
simpo,mpe talaka arudi kwao na wewe tafuta mwingine asiyetaka ujira au la endelea kulipa kwani si unafaidi?
 
Duh yan unanunua...sa kuna tofauti gan na YA DUKANI...mchunguze vzr labda alishawahi kuwa na ajira km hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…