Mwanamke anataka malipo

Mwanamke anataka malipo

Kuna mwanamke nimemuowa ananiumiza kichwa sana , eti anataka kwa kila jambo afanyalo kwangu antaka apewe pesa
hiyo achilia mbalin malupu lupu mengi ne mbali na mshahara wa mwezi. nimejitahidi sana lakini nimeshindwa kwani kama hivyo ndivyo basi kima cha chini cha ni sh ngapi? sipati mechi kabla yakulipa au niahidi lini nitalipa.au nitakaa hivyo hivyo mpaka nipate pesa

Umeowa kweli? Huyu mkeo anayajua masharti ya ndoa kuwa hakuna kunyimana? Ujira wa nini kama alikubali kuolewa? Utakuwa masikini si muda mrefu!!!
 
Kakuokota kweli kweli! sasa na how didi u do it in the first place? Kuna tofauti gani na yule wa kwa macheni pale? Tena wale wa macheni wako bomba ile mbaya manake chochote utakachotaka ni pesa yako tu!
 
Haya mambo kwenye kipindi cha uchumba hukuyaona kama uliyaona ni kwanini ulijiingiza kwenye hayo matatizo au ulifungishwa ndoa ya mkeka
 
hakufai achana nae huyo,unapoteza mda tu.km maboyfriend wanapata bila kulipia sembuse wewe ulie ktk ndoa,umeliwa kekundu ndg yangu.Kwanza cjawai sikia km walio ktk ndoa huwa wanalipia hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom