Mwanamke anataka malipo

Mwanaume kuchunwa kidogo si dhambi. Dhambi ni kutokuchunwa kabisa.
Mpe visenti bana.
 
infact huyo hujamuoa ila umemuowa!!! endelea kumuowa tu maana ni biashara ati
 

kwa nini kichwa kinakuuma kama hufurahi khali hii ambayo wewe mwenyewe umejitakia........maamuzi unayo na hutaki kuyafanya sasa watarajia nini?
 

sasa unacholalamika ni nini,kumbe mmepatana kulipana mshahara na marupurupu juu.....endelea tu kumlipa coz ndio makubaliano yenu. Na sijui mahari ilikuwaje...lol
 
Kama salio linasoma mfungulie biashara yoyote atakayo ipenda.
 
labda tukiiweka in monetary terms inaweza kueleweka vizuri zaidi.. ni kiasi gani anacharge kwa 'mmego' mmoja?
 
Pole sana ndugu yangu. mie kwa sasa sina ushauri juu ya hilo ila Mungu akusaidie upate ufumbuzi katika hilo.
Best wishes
 
simpo,mpe talaka arudi kwao na wewe tafuta mwingine asiyetaka ujira au la endelea kulipa kwani si unafaidi?
Kwani anayefaidi ni mwanaume tu? hujasema kweli hapo!
 
simpo,mpe talaka arudi kwao na wewe tafuta mwingine asiyetaka ujira au la endelea kulipa kwani si unafaidi?
Kwani anayefaidi ni mwanaume tu? hujasema kweli hapo!
 

Kakupa limbwata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…