Mwanamke anatazama maslahi ( Uhakika wa maisha)

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.

Na kupata unafuu wa maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu unamtimizia mahitaji yake.

Ukishindwa kumudu kutimiza mahitaji ya mwanamke mahusiano/ Ndoa inakifa.
Chunguza au similar kauli za wanawake utagundua nafsi
 
Kwa hualisia ndivyo ilivyo mwanamke kumtegemea mwanaume unaposhindwa kutimiza wajibu hapo ndipo linakuja swala la uvumilivu na upendo aliyonao mwenza wako. Tunashauriwa kabla hatujawekana ndani tuanze kwanza na maisha ya chini sasa vijana sikuhizi tumesha jipata ndio tunavuta majiko lazima ukiterereka akukimbie mapema2 kwa sababu hajazoea
 
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.

Na kupata unafuu wa maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu unamtimizia mahitaji yake.

Ukishindwa kumudu kutimiza mahitaji ya mwanamke mahusiano/ Ndoa inakifa.
Chunguza au similar kauli za wanawake utagundua nafsi
Kwani ulikuwa hujui?
Mungu ndo ana mapenzi ya kweli kwa mwanaume. Ndo maana mwanaume anayempenda na kumheshimu Mungu, hataoa mwanamke wa hovyo.
 
Back
Top Bottom