Ila umwnyiokaga hata rula haifaiSasa wewe shemegi ulitegemea mtu aache kwao kila kitu ili aje ateseke kwako?
Naunga Mkono Hoja 😜Sasa wewe shemegi ulitegemea mtu aache kwao kila kitu ili aje ateseke kwako?
Ingekua ni wewe ungeenda kuolewa ili ukateseke?
Kwani ulikuwa hujui?Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.
Na kupata unafuu wa maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu unamtimizia mahitaji yake.
Ukishindwa kumudu kutimiza mahitaji ya mwanamke mahusiano/ Ndoa inakifa.
Chunguza au similar kauli za wanawake utagundua nafsi