na mkishapata Mwanaume mwenye sifa hizo mbona hamtulii?
kuna wanawake ana wanaume hata watano na wote ni very understanding...
but akija wa sita pia 'anakula kichwa'......hamtosheki siku hizi...
hata tuwe vipi.......
Kama unajua kile unachotakiwa kutoa na unakitoa, rest assured mambo yako yataenda vizuri. Hata ukipata pompo asiyejua kutoa, hutaumia. You will take back what is yours hapily!
sio kweli,wengine 2nafahamu what we need and what to offer,may be hujabahatika kupata anaejua kucmama kwnye nafasi yake vyema
very true! Mistake kubwa hua inatokea kwenye kuchagua nani ili akupe nini but kuna wengine mwanzoni huenda vizuri kabisa thena baadae kha! Unajuta kumfahamu..
Well... Kama kawa, mwanamke anachotaka... Selfish deed.Ili uhusiano wowote uwe endelevu kila mmoja anapaswa kuelewa na kutimiza mahitaji ya mwenzake. Mahitaji haya hutofautiana kati ya m/mke na m/mme but a woman's primary need is emotional.
Mwanamke aingiapo kwnye uhusiano hutegemea kupata;
1) Rafiki wa kweli atakayeweza kumshirikisha kwny mambo yake,kutaniana nae,kucheka nae na atakayempenda na kumuheshimu..
2) Mwenzi atakayevutiwa na jinsi alivyo kwa kila kitu
3) Mwenza wa kusota nae maisha yake yote yaan wacheke na kushangilia pamoja wakati wa raha na kusaidiana wakati wa shida.
4) Hutegemea mwenza wake aweze kusimama vizuri kwenye nafasi yake na mwenye msimamo katika majukumu yake
5) Mwanamke hutegemea mwenza wake atakua tayari kumckiliza kwa makini pindi akuelezapo jambo
NOTE:Mwanamke akikueleza tatizo lake sio lazma anataka ulitatue!sometimes women seek 4 sympathy &undestanding..
Kama ni m/ume hebu jiulize hua unampatia mwenza wako alichokitegemea kabla ya kua na wewe?
Kama ni m/mke kama hujapata ulichokitegemea umechukua hatua gani?
wanawake wa siku hizi wengi wao wana stress na maisha, hasa tamaa ndo inawasumbua, akijitokeza kabwela akakopa kimkokoteni akamtoa out basi anamkubali 100%. Ila jitokeze mzimamzima useme huna kitu mnaenda kuanza maisha ya kutafuta,jibu utakalopewa utajiinamia chini. Inshort, siku hizi wanawake wengi wametawaliwa na tamaa ndo maana mapenzi ya dhati hakuna.
Kudadadeki(lusinde)
Mama Isaac, hata mimi sijasema wote, nimesema 'wengi wenu', so yawezekana wewe ukawa mmoja kati ya hao wachache.
Kama kupata mwanamke anayejua kusimama kwenye nafasi yake yake kunaenda kwa kubahatisha, basi wanaume shughuli tunayo. Sijui tutapiga chini wangapi ndo tufikie kubahatisha huyo anayejua?!
Nimevitimiza na vimerudi na kuwa majuto..... Mahitaji kwa mwanamke hayaishi na yanabadilika OVYO OVYO na wakati mwingine GHAFLA km hali ya hewa isiyotabirika........ Na sababu kubwa wanawake hamridhiki, tosheki, sometimes hamkubaliani na hali halisi (UHALISIA) uliopo wakati huo.....
Women, u r so undefined and ur thinking is so parochial (am sorry 2 say ths).... probably that's the reason.... the source of problems..........