Duh' umegonga ikulu! kwani wana balaa kwa kupenda kuweka mtungo!
na mkishapata Mwanaume mwenye sifa hizo mbona hamtulii?
kuna wanawake ana wanaume hata watano na wote ni very understanding...
but akija wa sita pia 'anakula kichwa'......hamtosheki siku hizi...
hata tuwe vipi.......