Purple
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 2,027
- 935
Ili uhusiano wowote uwe endelevu kila mmoja anapaswa kuelewa na kutimiza mahitaji ya mwenzake. Mahitaji haya hutofautiana kati ya m/mke na m/mme but a woman's primary need is emotional.
Mwanamke aingiapo kwnye uhusiano hutegemea kupata;
1) Rafiki wa kweli atakayeweza kumshirikisha kwny mambo yake,kutaniana nae,kucheka nae na atakayempenda na kumuheshimu..
2) Mwenzi atakayevutiwa na jinsi alivyo kwa kila kitu
3) Mwenza wa kusota nae maisha yake yote yaan wacheke na kushangilia pamoja wakati wa raha na kusaidiana wakati wa shida.
4) Hutegemea mwenza wake aweze kusimama vizuri kwenye nafasi yake na mwenye msimamo katika majukumu yake
5) Mwanamke hutegemea mwenza wake atakua tayari kumckiliza kwa makini pindi akuelezapo jambo
NOTE:Mwanamke akikueleza tatizo lake sio lazma anataka ulitatue!sometimes women seek 4 sympathy &undestanding..
Kama ni m/ume hebu jiulize hua unampatia mwenza wako alichokitegemea kabla ya kua na wewe?
Kama ni m/mke kama hujapata ulichokitegemea umechukua hatua gani?