Mwanamke anaweza kumpima Mwanaume kama anampenda kwa kutumia vigezo gani?

Mwanamke anaweza kumpima Mwanaume kama anampenda kwa kutumia vigezo gani?

Mwanamke anaweza kumpima mwanaume kwamba anampenda kwakutumia vigezo gani?
Naombeni wataalam mnieleze hii imekaaje.
Usihangaike kutaka wanawake wakupende, penda goals zako malengo yako,fanya yako utawaona wengi sanaa wakijileta ktk njia yako.

Mwanamke hana upendo na mwanaume bali angalia nani anayeweza kumpa unafuu wa maisha. Bible haikumpa jukumu la Kupenda coz hawajui . Upendo anaopewa mwanaume huja condition kaa na hizo conditions game umewin.
 
Vipimo ndo kama hivi.... ahahah
images (9).jpeg
 
Back
Top Bottom