1. Muda wake (Mwanaume akikupenda kweli atakupa muda wake, ukiona mwanaume kila wakati anakwambia yuko busy jua huna chako)
2. Atapanga maisha yake ya baadaye na wewe.
3. Atakueleza mipango yake ya kila siku, ratiba zake n.k
4. Akikuita mama yake. Lols Inaweza kuwa inachekesha lakini ndio ukweli, mwanaume akikuita Mama…. (Jina lake, jua imeisha hiyo)