Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Ukweli mchungu😕
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.

Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.

Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo. Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao.

Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake; anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.

Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa, lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.

Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbuki kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.

Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).

Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.

Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.

Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.

Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.

Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.

Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.

Pindi mkeo anapoanza kulala na mwanaume/wanaume wengine ujue kifo chako ki karibu.
 
Kwanza kwa taarifa yako Kuna wanaume wengine wakiwa kwenye mahusiano hawataki kugandwa kama ruba!

Wanapenda kukutana once for a while na once they meet they used to make it memorable always!

Hawataki kuwa watumwa wa mapenzi.

Hawataki kutawaliwa na mapenzi badala yake wanapenda wao ndio wayatawale mapenzi.

Kwa hiyo Mwanaume wa hivyo akimpenda mke wa mtu anakuwa na maana yake ya kiasi na siyo mapenzi ya ruba.

Na Pia kuwa na uhusiano na mke wa mtu kunampa ahueni katika mahitaji ya pesa n.k

Kwa kuzingatia hayo n.k.

Mwanamke hawezi fikiri kumuua mume wake wa ndoa labda ziwepo Sababu nyingine.
 
Tena wa taarifa yako mke akichepuka na mhuni usipime,

Kuna mbinu wanapeana!

Tena ni mbinu za kuimarisha uhusiano na mumewe wa ndoa, jamaa anampa.[emoji108]

Ni kweli wanawake ukiondoa wakudanga baadhi hupenda kwa hisia Tena wachache bila kutegemea kuvuna hela au any materials things lakini mwanamke akiangukia kwa mchepuko mwerevu huwa anam-lead well kwenye mambo mengi including yahusuyo familia ya huyo mke alochepuka kuhakikisha mambo yanaendelea kuwa Sawa.
 
Kwanza kwa taarifa yako Kuna wanaume wengine wakiwa kwenye mahusiano hawataki kugandwa kama ruba!

Wanapenda kukutana na once they meet they used to make it memorable always!

Hawataki kuwa watumwa wa mapenzi.

Hawataki kutawaliwa na mapenzi badala yake wanapenda wao ndio wayatawale mapenzi.

Kwa hiyo Mwanaume wa hivyo akimpenda mke wa mtu anakuwa na maana yake ya kiasi na siyo mapenzi ya ruba.

Na Pia kuwa na uhusiano na mke wa mtu kunampa ahueni katika mahitaji ya pesa n.k

Kwa kuzingatia hayo n.k.

Mwanamke hawezi fikiri kumuua mume wake wa ndoa labda ziwepo Sababu nyingine.
Uko sahihi,hata mimi sitaki mwanamke wa kuniganda muda wote.Lkn Nikwambie tu ndugu yangu hicho kilichopo kwenye uzi ni kweli tupu,nimeona mwenyewe,mara nyingi Wanaume hao wanakuwa wanataka mali ambazo familia husika wanazo,kwa hiyo Cha kwanza kabisa huwa ni kumpa Mapenzi moto moto hadi mwanamke achanganyikiwe,akishafanikiwa kuiteka akili ya huyo mwanamke kifuatacho ITV ni kumtengenezea mazingira ya kuanza kimchukia mume wake, mume akishagundua mambo hayako sawa Si ataanza chokochoko,hapo sasa reaction itakuwa ipo poa,ndipo sasa lijamaa litamuambia mwanamke si unaona jinsi mume wako alivyo kikwazo kwenye penzi letu!!, Kwanini tusimuondoe tu ili tuweze ku enjoy Zaidi??, Kwasababu mwanamke ameshakabidhi Moyo wake kwa huyu kidume mwingine Nakwambia hivi hawezi kukataa.

Mimi mwenyewe niliwahi kutoka na mke wa mtu,nikampa shoo ya maana, manzi akafurahi sana,akaanza kunieleza siri zote za yeye na mume wake na jinsi wanavyogombana;Ikafika wakati akaniambia Anataka kudai taraka ili awe huru na Mimi,lkn Mimi nikamkatalia nikasema sio vizuri kutengana na mumewe kisa Mimi,Mimi ni mtu wa kupita tu.

Sasa hebu fikiria,Mimi sijamwambia afanye hivyo lkn yeye anafanya akidhani kuwa Mimi Nitafurahi.Je,ningemwambia amuondoe unadhani angekataa??.Ninaomba MUNGU anisamehe uovu wangu wa kutembea na mke wa mtu,sasa hivi nimeacha.
 
Binafs nilitembe na mke wa mtu sas yapta week imepita ila nimemtema kwa upumbafu wake wakutaka kuachana na mume anaye mtunza ili tuishi nae nilimuona mpuumbafu wa kiwango Cha sgr ...ansema Siri zote za famili yake alfu jamaa fresh kbsa Ni anapambna kuhakikisha mke anapata mahitaji yote kumbe Ni anale mke mpumbafu
 
Umeona eenhh?!!!, Mwanamke aliyeolewa akipigwa pumbu vizuri,Cha Kwanza anachofikiria ni namna ya kuachana na mume wake.
 
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.

Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.

Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo. Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao.

Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake; anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.

Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa, lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.

Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbuki kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.

Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).

Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.

Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.

Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.

Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.

Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.

Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.

Pindi mkeo anapoanza kulala na mwanaume/wanaume wengine ujue kifo chako ki karibu.
Sure
 
Binafs nilitembe na mke wa mtu sas yapta week imepita ila nimemtema kwa upumbafu wake wakutaka kuachana na mume anaye mtunza ili tuishi nae nilimuona mpuumbafu wa kiwango Cha sgr ...ansema Siri zote za famili yake alfu jamaa fresh kbsa Ni anapambna kuhakikisha mke anapata mahitaji yote kumbe Ni anale mke mpumbafu
Mkuu achana nae kabisa, utakuja kujuta, mke wa mtu ni hatari
 
Hivi kwanini wanaume tunaogopa sana kugongewa? Uzi wote huu ni uoga wa mwanaume kuchapiwa
Inabidi wataalamu wa saikolojia ...waingilie hili swala waanze kutu train wanaume tuone ni kawaida mwanamke kuliwa nje... Huu uoga wa kuhofia kuchapiwa ..unapelekea wengi kupunguza focus ya vitu vya msingi ,wanaishia kuendekeza matwaka ya wanawake wakijua wakifanya kila anachotaka mwanamke ndo suluhisho lakini bado wanachapiwa kama kawa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanasaikolojia wenyewe wanagwaya ktk suala hili.Hebu jaribu kumrubuni mke wa Mwanasaikolojia uone km hajachanganyikiwa.
 
Hii ndio point kuu. Wananwake wanatamani sana kubadili mbooo....na wanapenda kushare vizuri tuu. Sema ujinga wetu wanaume mambo ya kudhani kuwa wanawake hawana matamanio ya ngono kama sie wanaume.
Hadi wewe Demi ume-like hii tena kwa kushow “love” .. 😁

Haya tupe siri ya kilicho mtungini
 
Back
Top Bottom