Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Nakubaliana na wewe
 
Hii kitu ni very complicated, mwanaume anachepuka na mwanamke, ila mwanamke kuchepuka ni hatari [emoji849]

Anewei siwezi kuongea chochote bila mwanasheria wangu BADILI TABIA
Hapa mwandishi kaongelea kuwa mwanamke hana uwezo wa kuhimili emotional conflict. Hii ni asili na wala haihitaji arguments. Tatizo linakuja harakati za kudai usawa zinapoanza. Ukitumia logic unaona haya madai ni sawa ila ukija upande wa nature bado ukweli unabakia kama muandishi alivyoelezea.
 
Asante kwa kumuelewesha.
 
Niliwahi kusema humu na leo nasema tena labda kama kuna watu hawakunielewa.

Nasema hivi [emoji116]

Kosa la mwanamke kuchepuka HALISAMEHEKI yani hata mizimu ifufuke kosa hilo HALISAMEHEKI na HALIVUMILIKI. Narudia tena HALISAMEHEKI
HAKIKA!
 
Usidanganye umma kiongoz tamaa ya mwanaume haiwez lingana na ya mwanamke hta mara moja
 
Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.
Oogh mume wangu ana kisukari, Sijui mume wangu Mlevi sana. Oogh mume wangu haijali familia. Ukishasikia tu such statements ujue umekutana na Binti yake ibilisi
 
Oogh mume wangu ana kisukari, Sijui mume wangu Mlevi sana. Oogh mume wangu haijali familia. Ukishasikia tu such statements ujue umekutana na Binti yake ibilisi

Kwani haiwezekani hayo kutokea ?

Kwani hayapo hayo kwenye familia za watu?
 
Hizi falsafa za mwanamke hatoi chezo mpaka apende zinatokaga wapi!?
Basi mm nitakuwa na moyo wa tofauti na wanawake wengine. Maana huwa mara nyingi tu nagawa uroda bila upendo....wengine kwa kiwahurumia, wengine nawapa kwasbb wamenipa hela na wachache kwasabb ya muonekano wao mzuri
 
Yapo, je ndio justification ya kufanya hayo?

Nitamuelewa yule ambae ni mwaminifu Katulia na mkewe ndoani hachepuki,

Lakini Kwa anayechepuka hawezi kieleweka kuyasema hayo.

Kawaida ya mkuki uchomwe Kwa nguruwe lakini Kwa binadamu huwa mchungu.

Ukiwa mlafi usiwe mchoyo!
 
Ukiwa mlafi usiwe mchoyo.....kizuri kula na nduguyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…