Upo sahihi mzabzabHii ndio point kuu. Wananwake wanatamani sana kubadili mbooo....na wanapenda kushare vizuri tuu. Sema ujinga wetu wanaume mambo ya kudhani kuwa wanawake hawana matamanio ya ngono kama sie wanaume.
Bora uwaambie ukweli maana kila siku wanajazana uongo utafikiri waliwahi kuwa wanawake.Mm naona hii concept ya mwanamke kufanya tendo la ndoa kwa hisia badala ya tamaa ni sisi wanaume ndo tunataka iwe hivyo kwa sababu tunaogopa kuchapiwa ila ukirudi kiuhalisia mwanamke na mwanaume wote ni sawa linapokuja suala la tamaa ya ngono.
Wote tuna tamaa tu ila mwanamke ameandamwa sana na jamii ndo maana inamuia vigumu kubadili mwanaume pale anapotamani jambo la tofauti.
Endelea kuwaona hivyo. Wanawake wamewapa Mentality mbaya Nyie Wanaume msiotaka kufikiria Nyuma ya Pazia. Ili wawateke Akili zenuHao ni abnormal Mkuu
Achana nao aiseeHii kitu ni very complicated....
mwanaume anachepuka na mwanamke, ila mwanamke kuchepuka ni hatari [emoji849]
Anewei siwezi kuongea chochote bila mwanasheria wangu BADILI TABIA
Uko sahihi halafu kiuchumi ndo uwe umekalia dole utaisomaSIKU MKEO AKIANZA KULALA NA MWANAUME MWINGINE JUA KIFO CHAKO KI KARIBU.......
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kukalia dole tena?,dah noma sana aisee.Uko sahihi halafu kiuchumi ndo uwe umekalia dole utaisoma
Jua kutofautisha kati ya Mwanamke na Mwanamke kahaba.Kwa mwanamke kahaba hapo sawa.Nachojua Mwanamke anaweza akawa anagongwa na wajuba kama wote bila kuwapenda wala nini!,
Labda ulikuwa unamaanisha Wanawake wa RΓΊssia mkuu?
Kha!kha![emoji134][emoji134][emoji134]Achana nao aisee
Msimamo uko pale pale
Kila mtu atumie sehemu zake za siri kwa starehe zake.
Hizi mambo za kufanya wanawake hawana genye ila wenye genye mdadiso ni wanaume hazina tija.
Pamoja sana MkuuUzi murua KABISA[emoji4]
Au basi ππππMwenyekiti tunachepuka au hatuchepuki?
ili ilete maana kwamba mwanamke kuchepuka haifai, inabidi wanaume wachepuke na wanaume wenzao....sasa waamue mwanamke inafaa au haifaiAchana nao aisee
Msimamo uko pale pale
Kila mtu atumie sehemu zake za siri kwa starehe zake.
Hizi mambo za kufanya wanawake hawana genye ila wenye genye mdadiso ni wanaume hazina tija.
mtraaaamu πIla mke wa mtu.......
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Aaaah tumewastukia, acheni tu nasi tuchepuke. Tunawahakikishia hatutachepuka kwa upendo, ni ngono tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtraaaamu [emoji849]
Huendamtraaaamu π
Sasa hao si wanajiuza Mkuu??.