Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Hii ndio point kuu. Wananwake wanatamani sana kubadili mbooo....na wanapenda kushare vizuri tuu. Sema ujinga wetu wanaume mambo ya kudhani kuwa wanawake hawana matamanio ya ngono kama sie wanaume.
Upo sahihi mzabzab
 
Mm naona hii concept ya mwanamke kufanya tendo la ndoa kwa hisia badala ya tamaa ni sisi wanaume ndo tunataka iwe hivyo kwa sababu tunaogopa kuchapiwa ila ukirudi kiuhalisia mwanamke na mwanaume wote ni sawa linapokuja suala la tamaa ya ngono.

Wote tuna tamaa tu ila mwanamke ameandamwa sana na jamii ndo maana inamuia vigumu kubadili mwanaume pale anapotamani jambo la tofauti.
Bora uwaambie ukweli maana kila siku wanajazana uongo utafikiri waliwahi kuwa wanawake.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hii kitu ni very complicated....
mwanaume anachepuka na mwanamke, ila mwanamke kuchepuka ni hatari [emoji849]

Anewei siwezi kuongea chochote bila mwanasheria wangu BADILI TABIA
Achana nao aisee

Msimamo uko pale pale

Kila mtu atumie sehemu zake za siri kwa starehe zake.

Hizi mambo za kufanya wanawake hawana genye ila wenye genye mdadiso ni wanaume hazina tija.
 
SIKU MKEO AKIANZA KULALA NA MWANAUME MWINGINE JUA KIFO CHAKO KI KARIBU.......

"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia
Uko sahihi halafu kiuchumi ndo uwe umekalia dole utaisoma
 
Nachojua Mwanamke anaweza akawa anagongwa na wajuba kama wote bila kuwapenda wala nini!,

Labda ulikuwa unamaanisha Wanawake wa Rússia mkuu?
Jua kutofautisha kati ya Mwanamke na Mwanamke kahaba.Kwa mwanamke kahaba hapo sawa.
 
Achana nao aisee

Msimamo uko pale pale

Kila mtu atumie sehemu zake za siri kwa starehe zake.

Hizi mambo za kufanya wanawake hawana genye ila wenye genye mdadiso ni wanaume hazina tija.
ili ilete maana kwamba mwanamke kuchepuka haifai, inabidi wanaume wachepuke na wanaume wenzao....sasa waamue mwanamke inafaa au haifai
 
Back
Top Bottom