Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Umeona eenhh??!!. Mwanamke akichepuka wakati mumewe ni mwaminifu huwa inaleta simanzi kubwa.
 
Kam kwel iv
 
Naona kama Kuna kaukweki fulani hivi.

Maana nilikua na mchepuko ambao ni mke wa mtu lakini nikiwa nao akipigiwa sim na mmewe anamjibu utumbo mpaka nataka kuingilia kati.

Yote kwasababu eti nilikua namfikisha kunako huwezi amini mpaka siri za ndani nilikua napewa.

Inna llilah wanna ilaih rajun.
 
Hii ndio point kuu. Wananwake wanatamani sana kubadili mbooo....na wanapenda kushare vizuri tuu. Sema ujinga wetu wanaume mambo ya kudhani kuwa wanawake hawana matamanio ya ngono kama sie wanaume.
Kuna wakati unashusha nondo kali mno
 
Kuna wakati unashusha nondo kali mno
🤣🤣🤣🤣Njoo basi tumalizie hizo fantasy zako mrembo.

Inaelekea unapenda sana kuenjoy mitibwa sugar tofauti tofauti
 
🤣🤣🤣🤣Njoo basi tumalizie hizo fantasy zako mrembo. Inaelekea unapenda sana kuenjoy mitibwa sugar tofauti tofauti
🤣🤣 wala sio kihivyo, but shit happens sometimes
 
Women will use sex to get what they want in life. It is their biggest weapon. It is their currency.
Sasa si mpaka awe mzuri na mvuto? Napo si kwa kila mwanaume, so anaweza kukosa tena vizuri tu. Sio kwa dunia hii ya sasa.
 
Sasa si mpaka awe mzuri na mvuto? Napo si kwa kila mwanaume, so anaweza kukosa tena vizuri tu. Sio kwa dunia hii ya sasa.
Umeongea sahihi, lakini hujapinga point yangu ya msingi.

Mwanamke anaweza kutoa penzi bila ya kuwa na mapenzi ya kweli.
 
Siri za ndani? Kama zipi?

Je, walikuwa na hali gani kiuchumi?(kuwa mkweli tafadhali).

Na ni kabila gani hao watu?

Samahani kwa maswali mkuu, naona visa vinataka kufanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…