Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Ni kweli niliwahi kuwa na mchepuko mke wa mtu alikuwa ananisimulia Siri nyingi sana kuhusu nyumba Yao Hadi nikawa namkataza.
Duuuh mpaka ukawa unamkataza? Siri nyingi kuhusu udhaifu wa mume wake au? Huyo alikuwa malaya tu kama wengine.
 
Naona kama Kuna kaukweki fulani hivi.

Maana nilikua na mchepuko ambao ni mke wa mtu lakini nikiwa nao akipigiwa sim na mmewe anamjibu utumbo mpaka nataka kuingilia kati.

Yote kwasababu eti nilikua namfikisha kunako huwezi amini mpaka siri za ndani nilikua napewa.

Inna llilah wanna ilaih rajun.
🤣🤣🤣🤣Ulikuwa unampelekea moto vilivyo
 
Ukijua mkeo anachepuka muache mara moja, huo ni mlango wa kifo.

Na ni kweli kabisa kua wanaume hulinda wake zao dhidi ya michepukoa lakini wanawake hulinda michepuko dhidi ya waume zao, japo sio wote coz kuna wanaume wapumbavu ambao hupumbazwa na huba la michepuko pia hadi kusahau familia.
Mlango wa kifo kivipi?
 
Umeongea sahihi, lakini hujapinga point yangu ya msingi.

Mwanamke anaweza kutoa penzi bila ya kuwa na mapenzi ya kweli.
Ni kweli anaweza kutoa penzi. Nimeipinga point yako kwa sababu ume generalize. Kwamba mshamba mmoja amepigwa na maisha huko anataka kazi anategemea aonge uchi? Real? Okay anaweza honga ila si kwa kila mwanaume.

Pia hata mwanaume naye anaweza sex na mtu asiye na mapenzi ya kweli kwake. Hakuna special hapo.

Rekebisha statement yako, dont generalize.
 
Huo mfano wa mshamba na kazi umetoka wapi?

Women use their sexuality to get what they want in life. Hapa sina cha kubadilisha. Anaweza akatoa penzi, akaflirt, akaruhusu sexual attention, but she will use her sexuality when it serves her right.

And mind you, sijataja kazi au pesa.
 
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.

Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.

Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo. Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao.

Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake; anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.

Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa, lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.

Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbuki kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.

Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).

Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.

Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.

Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.

Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.

Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.

Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.

Pindi mkeo anapoanza kulala na mwanaume/wanaume wengine ujue kifo chako ki karibu.
Mwanamke akichepuka, ACHANA naye kabisa. Haina haja hata kumsikiliza.

Anyway, wote tunapaswa kuwa waaminifu tu.
 
Huo mfano wa mshamba na kazi umetoka wapi?

Women use their sexuality to get what they want in life. Hapa sina cha kubadilisha. Anaweza akatoa penzi, akaflirt, akaruhusu sexual attention, but she will use her sexuality when it serves her right.

And mind you, sijataja kazi au pesa.
Huo ni mfano, anachohitaji chaweza kuwa kazi n.k! Si kila mwanaume anaweza kutoa kitu au nafasi kwa ke kisa uchi. Mifano ipo mingi.! So bado unaonesha viashiria vya ku generalize.
 
Hii kiku nakubaliana nayo asilimia [emoji817].
Mwanamke anaongozwa na hisia ndio maana hata kahaba anaweza akawa muuzaji mkubwa tu, atawauzia wanaume wote lakini atakuwa ana jamaa mmoja tu ambae ndio anahisia nae. Utakuta jamaa anapewa bure bila kutoa hata shilingi mia.

Kuna jamaa yangu (my best friend) aliwahi kuanzisha mahusiano na kahaba mmoja mdangaji mkubwa tu mjini. Huwezi amini huyo kahaba alikuwa anadanga na wanaume wengi tofauti tofauti wenye pesa zao za kutosha tu, na wanamgharamia kila kitu. Chaajabu wengine kwa kupendezwa na ile huduma yake tu anayowapatia walikuwa wakimng'ang'ania na kumshawishi kwa pesa zao eti wamuowe lakini aliwachomolea. Jamaa yangu alikuwa anapewa bure tu mzigo, sometimes yule kahaba akawa anawakimbia wale wanaume wenye pesa zao anakuja kulala kwa jamaa yangu ambae hana kitu pangu pakavu tia mchuzi. Basi ilikuja ikatokea jamaa yangu alipotaka kuoa akaamua kuoa kisiri siri mwanamke mwingine kabisa tofauti na yule kahaba aliyekuwa anamsitiri kupunguza ny*ge zake kipindi yupo bachelor. Yule mwanamke kahaba alivyosikia jamaa kaoa aliumia sana moyoni mwake kiasi cha kutaka kuuhama kabisa mji kwa uchungu kwani alikuta ameshamtambulisha jamaa hadi kwa ndugu zake.

Kilichotokea jamaa baada ya kuishi na mke wake kwa miaka mitano, akaanza kumkumbuka yule mwanamke kahaba na kuanza kumtafuta ili amuombe msamaha kwakua anadai alimkosea kwa kutomuoa yeye. Basi alimtafuta hadi akampata na kumuomba msamaha, demu akamwambia ameshamsamehe. Mpaka hivi sasa jamaa anaishi na yule kahaba kwa ndoa na wanapendana hakuna mfano. Hapo mwanzo jamaa alienda kuoa mwanamke mtu wa dini kwa kukwepa aibu ya kumuoa yule kahaba japo moyoni mwake alikuwa anampenda, alihofia jamii itamtazamaje. Sasa ameirudia aibu ileile aliyokuwa anaikwepa mwanzo. Sasa hivi demu kaacha ukahaba ni mke wa jamaa. Ukiambiwa habari zake utasema wanamsingizia.

Haya mambo hayana formula jamani.

Kuna la kujifunza hapa.

It's true story.
 
Huyo mwanamke Kahaba alimpenda jamaa kwa dhati kabisa,hiyo haina shida.Kimbembe kinakuja pale ambapo Mwanamke ambaye hakuwa mchepukaji anaanza kuchepuka aisee mbungi lake sio la nchi hii,anakuwa km amechanganyikiwa hivi kisa kuonja tu ladha ya mkuyenge wa Mwanaume mwingine.
 
[emoji3][emoji3]

Ndiyo hivyo!

Na wanamna hiyo hufanya baada ya kuwa disappointed na waume zao wa ndoa !

Unakuta mwanamke anaimbishwa na jamaa labda walisoma naye chuo na pengine hawakuwahi kusex hata siku moja,

mke amekuwa akikataa sababu anajua ameolewa na anapaswa kuwa mwaminifu kwa Mungu na mume wake wa agano,

Kuja kutahamaki mke anakuja kujua mume ana michepuko ameiweka mjini anaihudumia kwa mahitaji yote ya msingi (chakula, malazi na malazi), achilia mbali mahitaji mengine kama vile ada za Shule za watoto wa kufikia ambao mchepuko kazaa na wanaume wengine, na mengineyo mengi!

Imagine!

Unazani nini kitatokea?!

Lakini swala la kusema eti kwa kufanya hivyo itapelekea kumuua mumewe hapana bana!

Labda ichangiwe na sababu nyinginezo lakini siyo hilo la kuchepuka tu Hapana!

Sasa amuue mume wake kwa sababu gani kwa mfano?
 
Vipi kwa Wanawake wale ambao waume zao wanawapa kila kitu,na wanawaheshimu tu vizuri, lkn wao wanachepuka???.Kumuua Mwanaume inakuja pale mwanamke amempenda Mwanaume mwingine lkn mumewe ndio kikwazo kwa kumnyima uhuru.
 
Huu ni u$3ng3 yaani hela yangu, namtunza mimi halafu aniue? Aisee over my dead body haitotokea. Na nikigundua hata dalili tu kwa mbali sana nitakachofanya naomba nisikiandike hapa. Kuepusha mtafutano.
 
Ndio hivyo Mkuu,haya mambo yanatokea sana na tunayaona kwenye jamii tunayoishi.Yaani unakuta Mwamba anapambana kusaka riziki ya familia yake tena kwa kufanya kazi ngumu ili kuhakikisha Mke wake na watoto wake wanapata majitaji yote muhimu na anakuwa mwaminifu, Lkn Unakuta kuna Mpuuzi mmoja ndo anampelekea moto mke wa jamaa,na njemba hiyo inakuja masaa ambayo Baba mwenye nyumba yupo kazini.
 
Vipi kwa Wanawake wale ambao waume zao wanawapa kila kitu,na wanawaheshimu tu vizuri, lkn wao wanachepuka???.Kumuua Mwanaume inakuja pale mwanamke amempenda Mwanaume mwingine lkn mumewe ndio kikwazo kwa kumnyima uhuru.

Nakuelewa lakini inategemea siyo rahisi kiivyo!

Sasa kama ni hivyo inaweza ku-apply pande zote,

Hata mume akichepuka anaweza akasabbabisha mkewe akafa Kwa kurogwa na mchepuko wa mumewe,

Na unafahamu mchepuko wa mume ni hatari zaidi,

Kwanza huwa wanaanza kwa kuharibu ndoa muachane ikigoma hiyo ndio hata kuua wanaua.

Unajua Kwanini kwenye Biblia Imeandikwa “ asiachwe mwanamke mchawi kuishi”

Mwanamke akiwa mchawi na mshirikina huwa ni mbaya sana , huwa anaharibu ndoa, uzazi, maisha ya watu vibaya sana!

Kwa hiyo hatari iliyopo kwa mume kuchepuka ni kubwa zaidi kuliko mke kuchepuka.
 
Vipi kwa Wanawake wale ambao waume zao wanawapa kila kitu,na wanawaheshimu tu vizuri, lkn wao wanachepuka???.Kumuua Mwanaume inakuja pale mwanamke amempenda Mwanaume mwingine lkn mumewe ndio kikwazo kwa kumnyima uhuru.

Kwanini asiamue kuachana kwa kuondoka tu kwa mumewe hata kwa kutafuta sababu za visingizio?

Yani kwa mwerevu anaweza mtafutia sababu kwa kumkuta na makosa mfano ya meseji za michepuko kisha hapo hapo anamjengea hoja na kuondoka kisha baada ya muda kuanza mchakato wa talaka?!

Yanini kuwaza kuua mtu wakati njia mbadala zipo?!
 
Back
Top Bottom