HOJA Mwanamke anayejeruhi watu na vitu kwa mawe eneo la Philips - Arusha adhibitiwe

HOJA Mwanamke anayejeruhi watu na vitu kwa mawe eneo la Philips - Arusha adhibitiwe

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Kuna mama Arusha maeneo ya Philips, Mtaa wa Kimandolu na Mt. Meru Hotel (Sekei) inasemekana anachangamoto ya afya ya akili amekuwa akirusha mawe kwenye magari na kusababisha uharibifu mkubwa sana na anahatarisha maisha kwa waendesha magari juzi kanikosa kosa na jiwe.

Tunaomba msaada kwa jeshi la polisi adhibitiwe.
 
Kuna mmoja katika mji fulani aliitwa mother green/green mother yeye ilikuwa ukimtazama tu akiwa amepumzika na mzee wake (wote ni vichaa/wagonjwa wa akili) basi utatukanwa matusi makubwa ya nguoni huku ukirushiwa mawe
 
Back
Top Bottom