Mwanamke anayejielewa njoo kwangu

Mwanamke anayejielewa njoo kwangu

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
241
Reaction score
174
Natafuta mwanamke mtu mzima anayejielewa na ambaye anahitaji kuwa na mwanaume wa kutulia nae kimahusiano.
Nahitaji wazee wenzangu umri kuanzia miaka 30 au zaidi na mwisho ni miaka 45.
Ukiwa na mtoto / watoto sio tatizo kikubwa tuwe na mahusiano yaliyo bora na kushirikiana kimaisha.
Mengine tunaweza jadiliana pm.

Tukielewana tunaweza kufunga ndoa na kuishi pamoja ili tufurahie maisha pamoja na mengineyo.

Mimi ni mwanaume nipo late 30's. Matured na ninamaisha yangu.

Mwanamke mwenye uhitaji Pm yangu ipo wazi karibu sana.
 
SAWEBOY,
Umesahau kumwambia kuwa wewe ni shabiki wa Arsenal pia.
Kwahiyo ndoa yenu itadumu sana na mtavumiliana😊
 
Kuna mtu ambaye hajielewi na anajua kwamba haeleweki?
Nilivyomaanisha ni kuwa kuna baadhi ya wanawake ambao wapo so decent and from their heart really they want a real man who is matured like them and they thought perhaps they may form a strong bond and establish a family au kuendeleza familia pamoja.

Lakini pia kuna wanawake wengine ni micharuko na wao wanajijua fika kuwa ni micharuko na hawamaanishi wakisemacho, mfano mzuri ni wadada wadangaji na wengine wa aina hiyo.

Nadhani nimekujibu vema. Kama upo interested karibu chumbani tuongee rafiki.
 
Natafuta mwanamke mtu mzima anayejielewa na ambaye anahitaji kuwa na mwanaume wa kutulia nae kimahusiano.
Nahitaji wazee wenzangu umri kuanzia miaka 30 au zaidi na mwisho ni miaka 45.
Ukiwa na mtoto / watoto sio tatizo kikubwa tuwe na mahusiano yaliyo bora na kushirikiana kimaisha.
Mengine tunaweza jadiliana pm.

Tukielewana tunaweza kufunga ndoa na kuishi pamoja ili tufurahie maisha pamoja na mengineyo.

Mimi ni mwanaume nipo late 30's. Matured na ninamaisha yangu.

Mwanamke mwenye uhitaji Pm yangu ipo wazi karibu sana.
Hongera aisee kwa kujitolea kulea watoto wa Mme mwenzio jamaa unaroho nzuri sana, Mungu akusaidie upate hitaji la moyo wako
 
Back
Top Bottom