Mwanamke anayejielewa njoo kwangu

Mwanamke anayejielewa njoo kwangu

Ahsante sana mkuu, sina uhitaji.

Ok sawa nimekuelewa. Kwa kuwa dunia inazunguka huenda ukamuona mwenye sifa na uhitaji naomba usisite kumwambia kuwa kuna mwanaume yupo tayari kuwa nae kwa shida na raha.
 
Natafuta mwanamke mtu mzima anayejielewa na ambaye anahitaji kuwa na mwanaume wa kutulia nae kimahusiano.
Nahitaji wazee wenzangu umri kuanzia miaka 30 au zaidi na mwisho ni miaka 45.
Ukiwa na mtoto / watoto sio tatizo kikubwa tuwe na mahusiano yaliyo bora na kushirikiana kimaisha.
Mengine tunaweza jadiliana pm.

Tukielewana tunaweza kufunga ndoa na kuishi pamoja ili tufurahie maisha pamoja na mengineyo.

Mimi ni mwanaume nipo late 30's. Matured na ninamaisha yangu.

Mwanamke mwenye uhitaji Pm yangu ipo wazi karibu sana.
Kama hujapata na upo dsm nitafute tuone kama itawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom