Ahsante sana mkuu, sina uhitaji.Kama nawe una uhitaji kama mimi karibu chumbani tuongee rafiki.
Nilivyomaanisha ni kuwa kuna baadhi ya wanawake ambao wapo so decent and from their heart really they want a real man who is matured like them and they thought perhaps they may form a strong bond and establish a family au kuendeleza familia pamoja.Kuna mtu ambaye hajielewi na anajua kwamba haeleweki?
You are as old as you think you are.
HayupoKuna mtu ambaye hajielewi na anajua kwamba haeleweki?
Asituwekee masharti basi...Hayupo
Hongera aisee kwa kujitolea kulea watoto wa Mme mwenzio jamaa unaroho nzuri sana, Mungu akusaidie upate hitaji la moyo wakoNatafuta mwanamke mtu mzima anayejielewa na ambaye anahitaji kuwa na mwanaume wa kutulia nae kimahusiano.
Nahitaji wazee wenzangu umri kuanzia miaka 30 au zaidi na mwisho ni miaka 45.
Ukiwa na mtoto / watoto sio tatizo kikubwa tuwe na mahusiano yaliyo bora na kushirikiana kimaisha.
Mengine tunaweza jadiliana pm.
Tukielewana tunaweza kufunga ndoa na kuishi pamoja ili tufurahie maisha pamoja na mengineyo.
Mimi ni mwanaume nipo late 30's. Matured na ninamaisha yangu.
Mwanamke mwenye uhitaji Pm yangu ipo wazi karibu sana.
Call yourself whatever you like but it won't change the fact that you are oldYou are as old as you think you are.
Sasa wewe jione mzee tu
Kama una vigezo mimi nakukaribisha hayo majina ya humu hayaendani na uhalisia. Hivi mtu akijiita zero Iq ni kweli yupo zero!
Karibu pm