Mwanamke anayejielewa njoo kwangu

Ahsante sana mkuu, sina uhitaji.

Ok sawa nimekuelewa. Kwa kuwa dunia inazunguka huenda ukamuona mwenye sifa na uhitaji naomba usisite kumwambia kuwa kuna mwanaume yupo tayari kuwa nae kwa shida na raha.
 
Kama hujapata na upo dsm nitafute tuone kama itawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuja wengi PM, ila kujua huyu ni kondoo au mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo ndo kazi, labda kwa jicho la tatu ambalo ni kwa msaada wa roho matakatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…