Mwanamke anayejitambua aje PM

fursa hiyo wanawake mnaotafuta waume, hasa single moms
 
ulijiunga jf ferb 22 last year, ferb 25 ukaja na sredi inayosema unataka mchumba na una miaka 33... leo ni jan 2018 umekuja na sredi nyingine unataka mke na una miaka 43.. ..ukiangalia interval ya hizi sredi mbili hata mwaka haujaisha ni kama 11 months lakini kwenye umri wako tayari miaka kumi imeshasogea... what a miracle, ... jifunze kuwa siriazi shenzi taipu
 
Huo uzuri wa ndani unahitaji mda kuungundua kwa mwanamke
 

Wewe ndiyo mjinga kweli kweli. Pumbafu kabisa! Unajaribu kunifundisha kazi siyo??? Unajua nilikutana na ugumu gani huko ndiyo maana nikabadilisha umri???

Kwanza wewe inakuwashia nini kama haikuhusu??? ninavyokuona wewe unaweza kuwa mwanaume wala si mwanamke, sasa kwa nini usiwaachie wanawake? Ng'ombe mkubwa wewe!

Unadhani takwimu hizi?? Wewe mwenyewe unajua huku tunatumia majina bandia na vielelezo bandia. Ila tunatafua pa kuanzia ili tuelekee PM kujadili zaidi. Sasa wewe baba zima umekaa kutwa kucha unakagua backgrounds za watu. Pumbafff... unadhani takwimu hiziiiiiii!!

Kama inakuhusu njoo PM. Kama haikuhusu tafuta jembe ukalime. Mpuzi wewe!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukichukulia kila kitu kinachochapishwa humu SIRIAZI sana utaumia kichwa mkuu
 
Naona jinsi single mazas wanavyokimbilia pm!....ombi langu: kuweni makini msijevunjika miguu![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…