Mwanamke anayejitambua aje PM

Mwanamke anayejitambua aje PM

Wewe ndiyo mjinga kweli kweli. Pumbafu kabisa! Unajaribu kunifundisha kazi siyo??? Unajua nilikutana na ugumu gani huko ndiyo maana nikabadilisha umri???

Kwanza wewe inakuwashia nini kama haikuhusu??? ninavyokuona wewe unaweza kuwa mwanaume wala si mwanamke, sasa kwa nini usiwaachie wanawake? Ng'ombe mkubwa wewe!

Unadhani takwimu hizi?? Wewe mwenyewe unajua huku tunatumia majina bandia na vielelezo bandia. Ila tunatafua pa kuanzia ili tuelekee PM kujadili zaidi. Sasa wewe baba zima umekaa kutwa kucha unakagua backgrounds za watu. Pumbafff... unadhani takwimu hiziiiiiii!!

Kama inakuhusu njoo PM. Kama haikuhusu tafuta jembe ukalime. Mpuzi wewe!
ngoja nikuletee sabuni ya puff ndio inatoa povu vizuri ila umeshaumbuka TAPELI mkubwa, wadada kuweni makini sana na watu wa aina hii...
 
Tapeli kivipi? Maana hakuna mahusiano ya mtandaoni. Lazima tukutane na of course tutaelezana kila kitu. Shida yako wewe [MBEA MKUBWA] unashinda JF asubuhi, mchana, usiku unafuatialia maisha ya watu tu. Unachunguza umri, n.k. Fuata mambo yako. Huna kazi nini Bwege wewe....

Wenyewe wahusika wanakuja PM tunajadili huko. Jenga maisha yako wewe...
 
Halafu umestick kwenye kosa moja tu 33/43. je kama ni typing error? Unadhani wengine tunashinda humu 24/7 tukikagua spelling mistakes, n.k. ??? Dogo acha ushamba, wewe wajenga kwa mwenzako kumbe kwako kwa bomoka!
 
Tapeli kivipi? Maana hakuna mahusiano ya mtandaoni. Lazima tukutane na of course tutaelezana kila kitu. Shida yako wewe [MBEA MKUBWA] unashinda JF asubuhi, mchana, usiku unafuatialia maisha ya watu tu. Unachunguza umri, n.k. Fuata mambo yako. Huna kazi nini Bwege wewe....

Wenyewe wahusika wanakuja PM tunajadili huko. Jenga maisha yako wewe...
IQ-0
 
Iv humu unaweza kupata mwanamke wa ndoa!!! 43 unatafta mwanamke humu kabisa? Mkuu hapo jirani hakuna baa?
Mkuu wapo wanaojitambua sana na matapeli wapo pia akili kuchagua yupi anafaa unafanya interview ya nguvu before kwenda mazima kisa katuma pic nzuri na pia mshirikishe mungu
 
Salute wana-JF!

Yangu ni machache tu. Mimi ni mwanamume wa miaka 43. Nilioa tukaachana kutokana na matatizo ya ndoa [details nazihifadhi]. Tulijaliwa watoto 3. Siwezi kuishi maisha yangu yaliyosalia bila kuwa na mke. Hivyo basi naja mbele zenu nikijua ya kuwa ujumbe huu unaweza kuwa unamhusu mwanamke fulani. Maelezo zaidi kunihusu mimi:

- Mkristo, elimu ya Chuo kikuu
- Nimeajiriwa lakini pia napenda kufanya biashara

Mwanamke ninayemtafuta anaweza kuwa wa aina yoyote: mjane, aliyeachika, ambaye bado hata hajaolewa, mwenye mtoto, asiye na mtoto, n.k.

- Kikubwa kwangu nachokiangalia ni dhamira ya dhati ya kuamua kuishi maisha ya kifamilia, kuwa na mtizamo wa mbele.

Mrembo/mwenye umbo la kupendeza atapewa kipaumbele.

Njoo PM.

hello
 
Back
Top Bottom