Huraniwi jamani, usiwe mwepesi wakususa hivyo bwana. Wengine tunapenda utani wakati mwingine
ngoja nikuletee sabuni ya puff ndio inatoa povu vizuri ila umeshaumbuka TAPELI mkubwa, wadada kuweni makini sana na watu wa aina hii...Wewe ndiyo mjinga kweli kweli. Pumbafu kabisa! Unajaribu kunifundisha kazi siyo??? Unajua nilikutana na ugumu gani huko ndiyo maana nikabadilisha umri???
Kwanza wewe inakuwashia nini kama haikuhusu??? ninavyokuona wewe unaweza kuwa mwanaume wala si mwanamke, sasa kwa nini usiwaachie wanawake? Ng'ombe mkubwa wewe!
Unadhani takwimu hizi?? Wewe mwenyewe unajua huku tunatumia majina bandia na vielelezo bandia. Ila tunatafua pa kuanzia ili tuelekee PM kujadili zaidi. Sasa wewe baba zima umekaa kutwa kucha unakagua backgrounds za watu. Pumbafff... unadhani takwimu hiziiiiiii!!
Kama inakuhusu njoo PM. Kama haikuhusu tafuta jembe ukalime. Mpuzi wewe!
ngoja nikuletee sabuni ya puff ndio inatoa povu vizuri ila umeshaumbuka TAPELI mkubwa, wadada kuweni makini sana na watu wa aina hii...
ngoja nikuletee sabuni ya puff ndio inatoa povu vizuri ila umeshaumbuka TAPELI mkubwa, wadada kuweni makini sana na watu wa aina hii...
IQ-0Tapeli kivipi? Maana hakuna mahusiano ya mtandaoni. Lazima tukutane na of course tutaelezana kila kitu. Shida yako wewe [MBEA MKUBWA] unashinda JF asubuhi, mchana, usiku unafuatialia maisha ya watu tu. Unachunguza umri, n.k. Fuata mambo yako. Huna kazi nini Bwege wewe....
Wenyewe wahusika wanakuja PM tunajadili huko. Jenga maisha yako wewe...
Mh! MakubwaWw sio wa kuniumiza mm namna hiyo
Mh! Makubwa
IQ-0
Naomba unisamehe Ikiwa umekwazikaHamna tatizo lkn
Naomba unisamehe Ikiwa umekwazika
AsanteHamna sijakwazika
Ndoa sio emergence.....kwa mazingira ya huu uziHuo uzuri wa ndani unahitaji mda kuungundua kwa mwanamke
Nimeshajitathmini mwenyewe sifai
Kuwa na mtu tayari ni kukosa vigezonadhani vigezo unavyo. Sema labda una mtu wako tayari
Mkuu wapo wanaojitambua sana na matapeli wapo pia akili kuchagua yupi anafaa unafanya interview ya nguvu before kwenda mazima kisa katuma pic nzuri na pia mshirikishe munguIv humu unaweza kupata mwanamke wa ndoa!!! 43 unatafta mwanamke humu kabisa? Mkuu hapo jirani hakuna baa?
Salute wana-JF!
Yangu ni machache tu. Mimi ni mwanamume wa miaka 43. Nilioa tukaachana kutokana na matatizo ya ndoa [details nazihifadhi]. Tulijaliwa watoto 3. Siwezi kuishi maisha yangu yaliyosalia bila kuwa na mke. Hivyo basi naja mbele zenu nikijua ya kuwa ujumbe huu unaweza kuwa unamhusu mwanamke fulani. Maelezo zaidi kunihusu mimi:
- Mkristo, elimu ya Chuo kikuu
- Nimeajiriwa lakini pia napenda kufanya biashara
Mwanamke ninayemtafuta anaweza kuwa wa aina yoyote: mjane, aliyeachika, ambaye bado hata hajaolewa, mwenye mtoto, asiye na mtoto, n.k.
- Kikubwa kwangu nachokiangalia ni dhamira ya dhati ya kuamua kuishi maisha ya kifamilia, kuwa na mtizamo wa mbele.
Mrembo/mwenye umbo la kupendeza atapewa kipaumbele.
Njoo PM.
helloSalute wana-JF!