WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Mchuchu wa kijijini si mta differ mara moja best?shangaa na wewe dearest, ili kupata ndoa naona kuna masharti mengi sana, yaani hata ka kazi inabidi nikaache nirudi kijijini kwetu katelelo ili nipate mchuchu,kazi kweli kweli
G mie mwanaume mwenye insecurity issues simuwezi..naona nayeye atanishindwa....ila kama kuolewa nimeshaolewa wala sioni sababu ya wasichana kuharakisha kuolewa...kwa sababu yeyote itakayo kuwa... ndoa sio mchezo kama anvyosema Nyamayao...WOS umeongea point i muhimu, lakini wengine wanaipata chenji mapema sana...........mtu 25 anakuwa mambo yake mazuri tayari, by the time akifika 27 wanaume wanampiga chenga hata kumsogelea hawamsogelei.🙁
noname hamna kuacha kutafuta pesa kwa kuogopa insecurities za wanaume, atatokea tu atakaekupenda wewe na pesa zako japo itachukua muda kidogo.
shangaa na wewe dearest, ili kupata ndoa naona kuna masharti mengi sana, yaani hata ka kazi inabidi nikaache nirudi kijijini kwetu katelelo ili nipate mchuchu,kazi kweli kweli
kwahiyo mwanamke aache kila kitu kwa ajili ya kuolewa au just to help guys with their insecurity problem?
Mchuchu wa kijijini si mta differ mara moja best?
nashangaa dearest ..itabidi u lose all ur money and job (and urself may be) for the sake of marriage hahaha
...you can say that again!aaah jamani kama ndo hivyo hiyo ndoa nisiipate tu
NN siyo Wanaume wote wanataka hivyo. Hao wanaotaka hivyo ni wenye wivu uliopitiliza na kwao wao wake zao wanapokuwa waajiriwa basi inaongeza possibility ya kuwa na mwanaume/wanaume nje ya ndoa. Juzi juzi nimesoma mahali nadhani ni hapa jukwaani kwamba akina mama wanaokaa nyumbani tu na si waajiriwa ndiyo wanaokuwa na mahusiano ya nje ya ndoa kwa idadi kubwa kuliko hata wale walioajiriwa.
YouTube - ‪P. Diddy And Usher Feat. Loon - I Need A Girl‬‎
suala la insecurity lipo kwa sababu mwanaume anakuwa hajiamini na anamuogopa mwanamke anae mzidi income or education.. tabu inakuwa siyo pesa wala elimu..tatizo mwanaume anajiona dhaifu (or powerless) na hiyo ndio inaweza kusababisha matatizo kwenye relationship....mie niliwahi kuwa na relationship na mwanaume who earned less than me..so i know the problem...ilikuwa tabu manake kila small or big argument lazima alete tuu hii issue... " si unajiona unapesa ndio maana unafanya hivyo" au umejiona umekuwa manager ndio mie sifai tena" come on that is not the issue....:confused2:BUK, sidhani kama kuna mwanaume (kati ya wale waliotoa michango yao) amesema/kuonesha kuwa anapenda amke wake aache kazi. Hapo unajaribu kupindisha mada kuu inayojadiliwa hapa. Swali ni kuwa, mwanamke anayejiweza anapata shida kuwapata wanaume wa kumuoa? Na baadhi yetu (tena wengi tu) tumesema ndiyo na tukatoa vielelezo, ikiwemo uzoefu wetu na tafiti za kisayansi. Pia hapa hakuna suala la insecurity kama anavyosema Noname. Suala ni preferences za wanaume, na kwamba walio wengi wangependa kumuoa mwanamke asiyewazidi kipato. Maisha ya ndoa yanakuwa na furaha kama wahusika wanafurahia maisha yao na ndio maana kila jinsi (gender) inakuwa na vitu vyake inavyoviangalia na pia kila mtu anazo tastes zake.
suala la insecurity lipo kwa sababu mwanaume anakuwa hajiamini na anamuogopa mwanamke anae mzidi income or education.. tabu inakuwa siyo pesa wala elimu..tatizo mwanaume anajiona dhaifu (or powerless) na hiyo ndio inaweza kusababisha matatizo kwenye relationship....mie niliwahi kuwa na relationship na mwanaume who earned less than me..so i know the problem...ilikuwa tabu manake kila small or big argument lazima alete tuu hii issue... " si unajiona unapesa ndio maana unafanya hivyo" au umejiona umekuwa manager ndio mie sifai tena" come on that is not the issue....:confused2:
Kumbe hii sredi bado ipo?
Unajua mkuu DC, hawa wanaopinga hapa hata wenyewe hawayaamini wanayoyaongea...kwamba mwenye hela awe weak kuliko asiye nacho??:nono:Mhhh, wewe si unaona watu wanavyokuwa wabishi. Tunazunguka pale pale.
hehehehe!Unajua mkuu DC, hawa wanaopinga hapa hata wenyewe hawayaamini wanayoyaongea...kwamba mwenye hela awe weak kuliko asiye nacho??:nono:
Unajua mkuu DC, hawa wanaopinga hapa hata wenyewe hawayaamini wanayoyaongea...kwamba mwenye hela awe weak kuliko asiye nacho??:nono:
:amen:hehehehe!
ST royaaaaaaaaaa