Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Hatumtishi bana. Tunamshauri. Kama ana mapesa yake anajenga huko Salasala, aende kanisani amwombe Mungu amkutanishe na kina Rdiwani Kikwete, January Makamba, TID, Mwisho Mwampamba, Eric Shigongo, Nape Nnauye na watu wa aina hiyo... mambo ya fweza au umaarufu. Lakini kwa vijana wa aina tofauti, JS atamegwaaaaa lakini kuolewa ng'ooooooooo!!!
Vinginevyo labda mafweza ayapatie ndani ya ndoa.
kwani akijega salasala au vituka ndo inakuwaje? ni lazima amwambie huyo mwanaume kwamba nina hiki na kile....mie nilijenga kabla ya kuolewa na msukuma wangu alikuja kujua nina hiki na kile baadae kabisa baada ya kunioa coz ckuona sababu ya kumweleza vitu vyangu kwa undani sana kwa wakati huo,kwani vitu kama nyumba kagari ambako wakati huo nina drive ka vitara ndio vitu vya kumfanya mwanaume asioe? au JS ana pesa kama za bill gates? mbona wadada wengi wa cku hizi wana maendeleo sana jamani, hebu Js labda anisaidie kwa hili mana kukuta mdada mwenye maendeleo yake cku hizi ni jambo la kawaida,mdada ku drive kagari kazuri na kuishi vizuri ni jambo la kawaida, kabda uniambie ambae hana shughuli/kazi ya kueleweka mjini ndio nitahji kapataje hiki na kile lakini mwenye kazi yake inayotambulika na kisomo chake uhoji tena maisha mazuri aliyonayo? itakuwa ni uonevu.