Mwanamke anayejiweza kimaisha

Mwanamke anayejiweza kimaisha

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
Hatumtishi bana. Tunamshauri. Kama ana mapesa yake anajenga huko Salasala, aende kanisani amwombe Mungu amkutanishe na kina Rdiwani Kikwete, January Makamba, TID, Mwisho Mwampamba, Eric Shigongo, Nape Nnauye na watu wa aina hiyo... mambo ya fweza au umaarufu. Lakini kwa vijana wa aina tofauti, JS atamegwaaaaa lakini kuolewa ng'ooooooooo!!!

Vinginevyo labda mafweza ayapatie ndani ya ndoa.

kwani akijega salasala au vituka ndo inakuwaje? ni lazima amwambie huyo mwanaume kwamba nina hiki na kile....mie nilijenga kabla ya kuolewa na msukuma wangu alikuja kujua nina hiki na kile baadae kabisa baada ya kunioa coz ckuona sababu ya kumweleza vitu vyangu kwa undani sana kwa wakati huo,kwani vitu kama nyumba kagari ambako wakati huo nina drive ka vitara ndio vitu vya kumfanya mwanaume asioe? au JS ana pesa kama za bill gates? mbona wadada wengi wa cku hizi wana maendeleo sana jamani, hebu Js labda anisaidie kwa hili mana kukuta mdada mwenye maendeleo yake cku hizi ni jambo la kawaida,mdada ku drive kagari kazuri na kuishi vizuri ni jambo la kawaida, kabda uniambie ambae hana shughuli/kazi ya kueleweka mjini ndio nitahji kapataje hiki na kile lakini mwenye kazi yake inayotambulika na kisomo chake uhoji tena maisha mazuri aliyonayo? itakuwa ni uonevu.
 
Hatumtishi bana. Tunamshauri. Kama ana mapesa yake anajenga huko Salasala, aende kanisani amwombe Mungu amkutanishe na kina Rdiwani Kikwete, January Makamba, TID, Mwisho Mwampamba, Eric Shigongo, Nape Nnauye na watu wa aina hiyo... mambo ya fweza au umaarufu. Lakini kwa vijana wa aina tofauti, JS atamegwaaaaa lakini kuolewa ng'ooooooooo!!!

Vinginevyo labda mafweza ayapatie ndani ya ndoa.

Asprini mimi binafsi sina shida na mtu maarufu koz i like keeping it low myself..........pia sina shida na pesa kihivyo kwa kweli. what i need from a man its pure love na sio fedha na umaarufu. So hiyo aina ya kama Fidel ya kumega na kusepa kwa kweli sio nzuri and there will be serious effects in the end
 
Halafu wewe? Usisahau sisi ni waume za watu, chondechonde usitupe namba zako za simu lol:nono:

Sawa najua ni waume za watu as long as you keep up to your status and stay on track...........no problem. Haya sasa niambie grants wapi leo???
 
Wala sijatishika Nyamayao hakuna kitu kama hicho mie naendelea kujiendeleza kwa kwenda mbele

mie nikupe eg yangu, sasa hivi nina mambo chungu nzima, yaani ckufanikishaga hili na lile wakati huo nilikwapuliwa tu chaap, lakini nilikuwa nina mengi ya kufanya ambayo najua kwa wakati ule ningepata chance ya kuyafanya sasa hivi yangenipunguzia mzigo nilionao......
 
Inabidi nimuunge mkono asprin kwa jambo moja though.........

Mwanamke ukiwa na pesa nyingi sana jaribu kutafuta mtu mwenye nazo pia manake akiwa hana kabisa nnaweza kukwazana.

Mwanamme kujisikia inferior kwa mkewe inaweza kutoa changamoto kwa ndoa.

Nafikiri suala utumiaji wa pesa na definition ya hii kitu inaweza pia kuweka doa

pata picha dada wewe kununua pea ya viatu kwa shilingi laki tatu ni kawaida wakati mwenzio ndo mshahara wake wa mwezi! Atashindwa kukuelewa
 
Unajua mi siwaelewi hawa wanaume kabisa. Mnataka mwanamke awe chini siku zote akae akiwategemea nyie tu hata kama kaolewa. hiyo haipo. Kama mwanamke ana kazi nzuri anaishi maisha standard anajiheshimu then go for her hata kama wewe bado misheni town. Lakini sio mniambie kuwa hatajakaa aolewe kwa sababu mambo yake yako safi..............come on people you need to change that attitude you got in your minds aiseee hatutajakaa tuendelee kama itakuwa hivyo tu
 
Asprini mimi binafsi sina shida na mtu maarufu koz i like keeping it low myself..........pia sina shida na pesa kihivyo kwa kweli. what i need from a man its pure love na sio fedha na umaarufu. So hiyo aina ya kama Fidel ya kumega na kusepa kwa kweli sio nzuri and there will be serious effects in the end

huyo Asprin anakuvuruga ubongo, jamani wewe Asrin mpeleke JS pole pole...TID?
 
Inabidi nimuunge mkono asprin kwa jambo moja though.........

Mwanamke ukiwa na pesa nyingi sana jaribu kutafuta mtu mwenye nazo pia manake akiwa hana kabisa nnaweza kukwazana.

Mwanamme kujisikia inferior kwa mkewe inaweza kutoa changamoto kwa ndoa.

Nafikiri suala utumiaji wa pesa na definition ya hii kitu inaweza pia kuweka doa

pata picha dada wewe kununua pea ya viatu kwa shilingi laki tatu ni kawaida wakati mwenzio ndo mshahara wake wa mwezi! Atashindwa kukuelewa

kwanini ashindwe kunielewa kama kuna mapenzi ya kweli kati yetu? c na mie nitamnunulia hicho kiatu cha laki 3?....na huyo wa mshahara wa laki tatu nae atakuwa alijitakia kujitumbukiza kwenye shida ili alelewe, othrwise kama anapokea laki tatu na ana mapenzi ya kweli akae wasaidiane japo kimawazo nk kama ametaka kuwa na mtu wa juu yake...hapo hapo umemuweka barabarani mambo yake safi anang'ara then anaanza sasa kuvua chu..pi za nje, yaani mie cjui kabisa unaweza mpiga mtu kikuku cha ta..ko afie njoro.
 
hahaha kaizer mimi nilienda hospitali nikaandikiwa nivae miwani ya jua (cross my heart and hope to die) 😀

sasa ukinikuta nayo pia utasema u sister do au? 😀

kama daktari kasema hapo hakuna neno Gaijin I will take it positively......:spy:
 
Mimi big brother, nikiwa na akili zangu timamu, na bila ya kushauriwa wala kulazimishwa na mtu yoyote, nawashauri vijana wa kiume ambao hawajaoa kuwa wasithubutu wala kujaribu kuoa wanawake wa aina zifuatazo, kama wanataka ndoa imara:

  • Waliowazidi kimapato
  • Waliowazidi kielimu
  • Waliowazidi kiumri.

Nimeongelea kwa uzoefu kwa hiyo sipendi kuulizwa maswali. Kama wanabisha, wajaribu halafu yakiwashinda wakuje hapa kuanzisha masredi ya kuomba maushauri ya ma griit sinkaz!
The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:

Acid (Today), Kaizer (Today) :nod::nod::nod:​
 
The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:

Acid (Today), Kaizer (Today) :nod::nod::nod:​

wewe unasapoti hiki kitu? ina maana ucngemuoa JS?....mie bora ningefurahia coz ninapata mwanamke anaejua kuzisaka faranga.....
 
kwanini ashindwe kunielewa kama kuna mapenzi ya kweli kati yetu? c na mie nitamnunulia hicho kiatu cha laki 3?....na huyo wa mshahara wa laki tatu nae atakuwa alijitakia kujitumbukiza kwenye shida ili alelewe, othrwise kama anapokea laki tatu na ana mapenzi ya kweli akae wasaidiane japo kimawazo nk kama ametaka kuwa na mtu wa juu yake...hapo hapo umemuweka barabarani mambo yake safi anang'ara then anaanza sasa kuvua chu..pi za nje, yaani mie cjui kabisa unaweza mpiga mtu kikuku cha ta..ko afie njoro.

nikupe picha rahisi zaidi
mwanamke anafanya kazi kampuni ya simu analipwa milioni 5 take home.
Mume ni mwalimu wa sekondari .... He has a passion fir his job na hata afundishe tuition mshahara wake hauzidi laki 5.
Hajajitakia kuwa na pesa kidogo since anafanya kazi aliyosomea kwa bidii zote 🙂

unasema utanunua kiatu cha laki tatu na yeye umnunulie pia....... Hapa ndio tunapokosea wanawake. U can't tame a guy..... Mwanamme kaumbwa kuongoza na kumtarajia avishwe, alishwe, apewe makazi na mwanamke kutaweka doa kwenye akili yake hata akupende vipi.

Mungu aliumba wanaume kuongoza familia na wasipofanya hivyo wanajiona hawajatimia uanaume wao.

Iwapo gap ya kipato ni sawa since bado mwanamme atakuwa anaongoza familia ndani ya uwezo wake
 
wewe unasapoti hiki kitu? ina maana ucngemuoa JS?....mie bora ningefurahia coz ninapata mwanamke anaejua kuzisaka faranga.....

heheh Mrs Nyamayao....kuna vitu vitatu kasema Big Brother naomba nirudie:

Aliyekuzidi kipato---utajuuuuta kumfahamu
Aliyekuzidi Elimu-----Utakoma
Aliyekuzidi kiumri-------Utalia.

Ndo msingi wa hoja...sasa ubaya mmoja mimi sio mtu wa faranga saana ki hivyo so nilivokupata msaka faranga mzuri kama wewe walau moyo wangu unatulia madamu umri nimekuzidi na elimu japo niliishia kidato cha pili lakini ilikuwa enzi zile so sio mbaya.....

tuendelee kusaka faranga kama kawa watoto wauone mlango wa kagunia....

sasa kwa JS hapo siye tunamshauri tu,,,,yeye ni dada yangu so ninampenda kwa dhati kabisa nisingependa amegwe2 hovyo na wasio na mpango naye!
 
Back
Top Bottom