Mwanamke Anayewatesa Majirani Kwa Kelele za Ngono Ashindwa Kesi

Mwanamke Anayewatesa Majirani Kwa Kelele za Ngono Ashindwa Kesi

da mimi sielewi hizo kelele ni za aina gani au jamaa mguu wa mtoto mama anashindwa kuhimili kitu???
 
Naona katiba hazifanani, au alikosea kujibu maswali, hao majirani walitakiwa kulipa fidia kwa kuingilia uhuru wa mwenzao.....(lakini maadili nayo)....
 
Kweli hasa sisi huku uswahilini Mbagala Kuzuiani tuna tatizo kama hilo. Ila tunawaheshimu jamaa na kuwahifadhi, ni kinyume na maadili kuanza kuwarekodi na kuwafikisha kwa Pilato!.
 
Back
Top Bottom