I Ivilikinge Member Joined Jun 15, 2009 Posts 29 Reaction score 1 Jan 14, 2010 #21 da mimi sielewi hizo kelele ni za aina gani au jamaa mguu wa mtoto mama anashindwa kuhimili kitu???
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,400 Reaction score 320 Jan 23, 2010 #22 Naona katiba hazifanani, au alikosea kujibu maswali, hao majirani walitakiwa kulipa fidia kwa kuingilia uhuru wa mwenzao.....(lakini maadili nayo)....
Naona katiba hazifanani, au alikosea kujibu maswali, hao majirani walitakiwa kulipa fidia kwa kuingilia uhuru wa mwenzao.....(lakini maadili nayo)....
M Mwanjelwa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 956 Reaction score 146 Jan 24, 2010 #23 FirstLady1 said: kweli duniani kuna mambo hizo nyumba zimekaaje mpaka makelele yanawafikia? Click to expand... Unaweza kuwa na wewe unapiga kelele bila kujiona, kama huyo mwenzako. Ipo siku watakuambia tu.
FirstLady1 said: kweli duniani kuna mambo hizo nyumba zimekaaje mpaka makelele yanawafikia? Click to expand... Unaweza kuwa na wewe unapiga kelele bila kujiona, kama huyo mwenzako. Ipo siku watakuambia tu.
Joel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2007 Posts 1,031 Reaction score 561 Jan 24, 2010 #24 Makolezo hayo
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 642 Jan 24, 2010 #25 Jamaa labada alikuwa anabonyeza kizenji
lm317 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 451 Reaction score 44 Jan 24, 2010 #26 Kweli hasa sisi huku uswahilini Mbagala Kuzuiani tuna tatizo kama hilo. Ila tunawaheshimu jamaa na kuwahifadhi, ni kinyume na maadili kuanza kuwarekodi na kuwafikisha kwa Pilato!.
Kweli hasa sisi huku uswahilini Mbagala Kuzuiani tuna tatizo kama hilo. Ila tunawaheshimu jamaa na kuwahifadhi, ni kinyume na maadili kuanza kuwarekodi na kuwafikisha kwa Pilato!.
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,511 Jan 26, 2010 #27 FirstLady1 said: kweli duniani kuna mambo hizo nyumba zimekaaje mpaka makelele yanawafikia? Click to expand... labda kuna MIC, na kipaza sauti
FirstLady1 said: kweli duniani kuna mambo hizo nyumba zimekaaje mpaka makelele yanawafikia? Click to expand... labda kuna MIC, na kipaza sauti