Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke.
Hapo Sasa ndo ataanza kushituka.
Ukweli ni kwamba mwanamke anayeweza kumeza vidoge(dawa) Ili au kiumbe kilicho ndani ya tumbo lake mwenyewe ni wakugopwa zaidi ya ukoma!
Haijarishi mlishirikishana kwenye upumbavu huu au ni yeye tu Kwa ujinga na uhayawani wake. Na hata tu akikutishia hii mimba Yako nitaitoa asee huyo kaa nae mbali.
Wanaume wenzetu tunapowatonya mnatuona tumepitwa na Wakati. Lakini kumbuka UKWELI HUDUMU MILELE!
Imagine anabeba mimba miezi9 halafu anajifungua salama then anaenda kutupa jalalani huyo mtoto aliyedumu nae Kwa miezi 9 !
Je wewe ukimzingua atakuacha salama mwanamke wanamna hii?
Nikiwa mtoto zamani hizo tuliona mtoto aliyekamilika katupwa jalalani akiwa amekufa Tyr siafu wamejaa mwili mzima. Nililia sana maana sisi ndo Watoto tuliogundua kuwa huyu ni mtoto katupwa!
Nachoamini kamwe shetani hawezi kugeuka kuwa malaika. Wewe ukimchukua ukijua alifanya Kwa bahati mbaya na sababu zote utakazozisema ama yeye kusema. Tambua wazi ipo siku itakuwa zamu Yako.
Nikiwa mwanza tukio Hilo Hilo lilijirudia Tena.Nikawa mmoja wa walioona pamoja na uanaume wangu niliishiwa pozi kabisa.
Bahati nzuri yule dada aliyetupa alipatikana na tulikuwa tunamfahamu mzuri mpole ajabu huwezi zania Kila mtu alishangaa lkn huwezi amini ndo yeye alihusika kutupa kijusi Tyr kikiwa na umbo la binadamu.
NI HATARI! OGOPA!!