Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante...Kwa mahesabu ya kawaida Hawezi!
Sasa period si ukuta wa kizazi unajibomoa!!!
Asipokua na hicho kizazi nini kinajibomoa sasa?
MakinikiaJe, mwanamke/binti asiye na kizazi aweza enda katika siku zake-MP?
Naomba kuelimishwa wandugu zangu
Umevurugwa na makinikia Bloomberg ya tzMakinikia
Hahaha hapa mimi sio mtaalamuJoseverest njoo useme neno
Umeambiwa hana uterus na siyo ovariesKutakuwaje na P wakati hakuna yai linalopevushwa!? Nways ngoja wataalam waje