Mwanamke asiyeona siku zake anaweza pata mimba??

Mwanamke asiyeona siku zake anaweza pata mimba??

Nkondo 2

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
181
Reaction score
144
Naomba kueleweshwa juu ya hili swala je mwanamke asipoona siku zake hata kwa miezi mitatu hivi je anaweza pata mimba kama inawezekana naomba kueleweshwa inatokeaje??

Karibuni kwa msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipanda mbegu, tarajia mavuno mazuri kwenye shamba darasa lako ulilolianzisha.

Kama ni wa kusoma ndiyo shamba darasa lako, miaka 30 hela na kazi ngumu vina kuhusu sana.
 
kwa mbaaaaaliii anaweza ila wengi nao wajua hawajapata wakati tukiwa vibinti walituringishia bila ya kujua ni tatizo
 
Nahis ww ndo umemwelewa mtoa mada...kivp sasa mpk ategee siku atakayopata siku zake ndo a sex au?
Ni kwamba ikitokea hajaanza kupata siku zake, then ujalala naye siku chache kabla ya yeye kupevuka inamaana atapata mimba bila kupata bleed. Nimesema ni nadra kutokea maana lazima owe karibu na kupata siku zake yan kabla yai halijaharibika ili ableed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom