[emoji3] [emoji3] [emoji3] keshaharibu sio??!!Jipange kulea mimba tu mkuu
Inawezekana huko aliko kondomu hakuna!Jipange kulea mimba tu mkuu
Inawezekana huko aliko kondomu hakuna!
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] keshaharibu sio??!!
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama ni student ajiandae kupambana na mzee wa chatleKitambo kaharibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama ni student ajiandae kupambana na mzee wa chatle
brain is the beautiful part of the body.
kwani hujaharibu mahali mkuu
Nahis ww ndo umemwelewa mtoa mada...kivp sasa mpk ategee siku atakayopata siku zake ndo a sex au?
Ni kwamba ikitokea hajaanza kupata siku zake, then ujalala naye siku chache kabla ya yeye kupevuka inamaana atapata mimba bila kupata bleed. Nimesema ni nadra kutokea maana lazima owe karibu na kupata siku zake yan kabla yai halijaharibika ili ableedNahis ww ndo umemwelewa mtoa mada...kivp sasa mpk ategee siku atakayopata siku zake ndo a sex au?
Ni kweli mtu anaona hapati hzo kero za kuvaa ped kumbe ni jangakwa mbaaaaaliii anaweza ila wengi nao wajua hawajapata wakati tukiwa vibinti walituringishia bila ya kujua ni tatizo