mwanamke asiyependa kuhongwa!

mwanamke asiyependa kuhongwa!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Hivi dunia ilipofikia je kuna mwanamke asiyependa kumuomba hela wala kupokea pesa ya mwanamme!

Wenye wanawake Wa hivyo au kama wewe ni mwanamke Wa hivyo
Tuambie unawezaje!
 
Wanaume huwa tunaskia aibu sana ukiombwa wakati huna!hadi wengine wamezioza akiwa na hela ndio anakuwa na confidence ya kutongoza.
Ila ni vyema uwe na mwanamke ambae hakuombi ila ww mwanaume ujue tu kumpatia wakati ukipata.sio akikausha na ww unavunga tu unachekacheka.
 
Ni kweli ila wapo kweli?
 
Back
Top Bottom