Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikweli huwa sisemi hivyo,nisiwe muongo babyBaby walau useme "nikiwa Na shida ntakwambia kwa sasa nipo fresh"
Hadi hapa ninazo points nyingi sanaUngejichukulia points sana!
Ni kweli ila wapo kweli?Wanaume huwa tunaskia aibu sana ukiombwa wakati huna!hadi wengine wamezioza akiwa na hela ndio anakuwa na confidence ya kutongoza.
Ila ni vyema uwe na mwanamke ambae hakuombi ila ww mwanaume ujue tu kumpatia wakati ukipata.sio akikausha na ww unavunga tu unachekacheka.
Aiseeeeeeee mama anguuuManka Wa kichaga
Nyanja ingine ipi?hahahahhUmebobea nyanja ingine so anaangalia opportunity cost!
Alafu mbona huwa simchuni,ananipa mwenyewe ila mara chache chacheUnajua weee! Anasahau michuno yoootee!