Mwanamke atelekezwa na watoto wake 3.

Mwanamke atelekezwa na watoto wake 3.

fundi msati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
216
Reaction score
91
HABARI NA POLENI KWA MAJUKUMU. kuna dada mmoja ambae yupo chini ya miaka 30 alipo maliza shule ya msingi tu aliolewa nakaka mmoja nakuishi nae kwamuda wamiaka 14. akazaanae watoto wa 3. wakiwa ndani yandoa yao walifaanikiwa kujenge nyumba 2 moja yenye vyumba 12 nanyengine 3 mwanzoni mwa 2012 mumewe alifariki dunia. familia ya mumewe wali mfukuza kwa madai ali husika kwenye kifo cha alie kua mumewe kwa njia za kishirikina. baadhi ya ndugu wamume walimruhusu kupangisha nyumba kubwa kwa matumizi yawatoto alimpata mpangaji ambae nikiongozi wangazi fulani hapo kijijini na kumpangisha lakin baada yakwisha kodi alio tanguliza familia ikamtaka mpangaji huyo asitoe pesa kumpa huyo mdada. dada akaamua kwenda kuwashitaki lakin kiongozi huyo bado haja waita wala haijulikani ata waita lini ili kulizungumzia hilo na huyo mpangaji hatoi kodi kumpa huyo mdada na ajui afanye nini, NAWAOMBA MTUPE MUONGOZO WA KISHERIA TUJUE TUFANYE NINI NA AANZIE WAPI??
 
HEKIMATELE asante kwa kuni saidia kuwawaita WATAALAM maana bado hatujui tumsaidie vipi hatujui kama sheria inaweza kumsaidia na je tutaanzia wapi?,,,,,,,,, Dah nimekuelewa na nakubali mtazamo wako lakin usikate tamaa @HORSESHOE ACRH, tungoje ushauri kutoka kwa SANGARARA na WADAU WENGINE
 
Back
Top Bottom