Mwanamke atembea Na bango la kutafuta mume!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameandika bango Na kukatiza nalo mitaa ya jijini Nairobi akitafuta mume Wa kumuoa!
Mwanamke huyo bi Pris nyambura amesema amechoka kusubiri miaka nenda rudi hivyo ameamua kuweka aibu pembeni Na kuamua kutafuta mume mwenyewe kinyume kabisa Na mila za kiafrika.
Bi nyambura amevaa kabisa shela la bibi harusi tayari tayari kwa ndoa!
Ana umri Wa miaka 28 Na binti Wa miaka saba 7.

DJ sepetu
 
Mods naomba muweke Picha ndani ya thread

DJ sepetu
 
Mungu ampe tu uyo mama,unajua kuna wakati mabinti au wanaume uwa tunaona ndoa za nini ila kuna umri utafika tutajuta sana wakati ambao watoto wako watakua wako na majukumu yao ndugu wako na majukumu yao pesa unayo ila nani anakusaidia hasa pale kwenye magonjwa ya utu uzima unazani, unataka mama yako akuogeshe au mwanao wakike akuogeshe ni ngumu kuelewa ila kuna haja ya kuheshimu sana ndoa vijana wenzangu
kuna mzee ni marehemu na alikuwa balozi nje ya tanzania alinitamkia mbele yangu na pesa zake wakati anakaribia kufa mwanagu ziheshimuni ndoa leo nakufa kwasababu nilimzalau mke wangu, ndio na saidiwa ila si kama ambavyo angenisaidia mke wangu wakati huo hata chooni wakupeleka............
mungu tuepushe
 
Anatafute mume au mwanaume? Kwa sab mume ameshaoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujana maji ya moto ndugu yangu

Ndo mana tunaponzeka ila wachache ndo watakuelewa, in sha Allah, Allah atujaalie wenza walowema

invest what you are willing to loose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…