juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Ni umalaya tu huko mkuuMambo ya badoo yamenishinda
Hii ndio New York ya Tanzania bhana,mauzauza yote yapo hapaukitaka kujua janga hili lipo wapi utaambiwa dar ni hataree sana jij hili,?
Hii ndio new York ya tanzania bhana,mauzauza yote yapo hapa
Wanauza nyapu mkuu, yani huko mnaelewana kabla, na mi nishawaona wadada na washkaji wengi nnaowajua hadi sikuamini, full ufska hukoSijakupata fresh!
Kwa hiyo ni utapeli au wanauza nyapu kweli kweli?
Ukimtia huo mkwanja inakuaje? Huu mtandao haujawahi nivutia, nitawndelea tu kusikia visa vyake kupitia wadau kama mleta uzi.
Mafanikio ya kimaisha bila kuchenga ni sawa na kazi bureVijana wanahangaikia ngono kuliko hata wanavyoyahangaikia mafanikio kwenye maisha yao...
Bora sijajiungaa maana nami napenda helaa ningeomba mseme najiseelJamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.
Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".
Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Nachotaka kujua, wale 50+ years women nao wanauza? Mijitu inaonekana imeshiba chumvi...Wanauza nyapu mkuu,yani huko mnaelewana kabla,na mi nishawaona wadada na washkaji wengi nnaowajua hadi sikuamini,full ufska huko
Sawa kijana....kila penye juhudi huwa na mafanikio....Mafanikio ya kimaisha bila kuchenga ni sawa na kazi bure