Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Mbona rahisi tu mkuu, jiunge, andika jinsia ya watu unaowataka na miaka yao kwa uwiano,mfano kuanzia 18 hadi unayotaka mwenyewe, ruhusu huo mtandao usome eneo ulilopo ili ukuletee warembo walio karibu na wewe.Unapataje demu?mi nimejiunga lakini sijui jinsi ya kuwapata.halafu kuna kulipia lakini kwa Ksh
NJia ya kwanza rahisi ni kulike kila picha ya mrembo aliekuvutia, akilike back mnaweza chat na mkahamia kwenye whatsapp na meseji za kawaida baada ya kubadilishana namba za simu.
NJia ya pili unalipia kiasi flani kwa muda flani hapo unapewa haki ya kumtumia meseji yeyote unaemtaka, akijib mkachat mkakubaliana mnatoka kwenye mtandao mnahamia kitandani.