Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sasa ntajuaje nmematch na mremboHamna bwana hiyo kulipia ukitaka mbwembwe za kuchat na kila mtu. Wee slipe ryt subiri mkimatch utachat na warembo
Sasa ntajuaje nmematch na mremboHamna bwana hiyo kulipia ukitaka mbwembwe za kuchat na kila mtu. Wee slipe ryt subiri mkimatch utachat na warembo
Haikubalii, Badoo inataka picha yako halisiWakuu mbona sielewi kila saa inaniambia niweke picha na tayari niliweka ila sio Pic yangu halisi
Nilikuwa tangu manzoni wa huu uzi nazitafuta,niliscroll kama mara nne hivi, kwa umakini mkubwa lakini sikuziona.Wamefuta link zote za Telegram
Use VPNMbona nashindwa jiunga telegram?
Vpn Gani nzuri?Use VPN
Secure VPNVpn Gani nzuri?
🤣🤣Nachotaka kujua, wale 50+ years women nao wanauza? Mijitu inaonekana imeshiba chumvi...
Daahh nimecheka 🤣🤣🤣Ndiko nyapu iliko nadhamani, huko kwenu si mnahonga sukari tu nusu kilo tayari umepata nyapu, au kwenda kumsaidia kulima shambani.