Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi wanaume tukiwaona huko tuwaache?Haki ya mungu nikisikia harufu ya badoo kwa mwanaume namuacha kwa mwendo kasi shenzi kabisa
Mkuu ulitoka bila kuwang`ata?Huu mtandao wakipuuzi sijawai kuona..yaan wadada wamejitoa ufahamu,wanauza waziwaz..yaan hiii applcn niitoa ktk simu yangu ndan ya 24hrs.
Sikugusa MTU.mabomu yao yalikuwa hatareee.Mkuu ulitoka bila kuwang`ata?
Mpe ahadi baadae akikumbusha mwambie BADOO sijapataJamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.
Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".
Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Mbona mi nimewapiga sana na bila kuwapa hela??Sikugusa MTU.mabomu yao yalikuwa hatareee.
Kwa Badoo Ni Tofauti Na Unachosema, Waloanzisha Wameanzisha Kwa Dhumuni La Datting Na Wameandika Kabisa.Mwisho wa siku wabongo ndio tunaotumia mitandao vibaya walioanzisha walikiwa na maana yao ndomana kuna app hadi ya ku date
Hapana bwana ni msimamo wako tu.
Mkuu Ile Ni Datting Network Hata Wenyewe Wameandika Pale.mimi nina miaka miwili nipo huko mbona sijaona hao malaya,haiwezekani mtu unachokoza watu huko alafu ukiombwa hela unakimbilia huku kulalamika,yaani hawezi kukuomba kama hakuna series flan ya maongezi.
Wewe Hufai Ndugu Yangu, Yani Nilitaka Tufungue Huduma Ya Maombezi Lakn Inaonekana We Ni Mdahambi, Sasa Basi Hata Namba Yangu Futa [emoji3] [emoji3] [emoji3] Umenchekesha Sana MkuuMbona rahisi tu mkuu, jiunge, andika jinsia ya watu unaowataka na miaka yao kwa uwiano,mfano kuanzia 18 hadi unayotaka mwenyewe, ruhusu huo mtandao usome eneo ulilopo ili ukuletee warembo walio karibu na wewe.
NJia ya kwanza rahisi ni kulike kila picha ya mrembo aliekuvutia, akilike back mnaweza chat na mkahamia kwenye whatsapp na meseji za kawaida baada ya kubadilishana namba za simu.
NJia ya pili unalipia kiasi flani kwa muda flani hapo unapewa haki ya kumtumia meseji yeyote unaemtaka, akijib mkachat mkakubaliana mnatoka kwenye mtandao mnahamia kitandani.
Big No Mkuu, Hata Ukiwa UnaIstall Badoo Kwa Simu Yako Inakwambia, Ni "Popula Datting Network In The Word.Badoo was created for a good cause, however most of Tanzanians' are using it to satisfy their sexual agenda.
Big No Mkuu, Hata Ukiwa UnaIstall Badoo Kwa Simu Yako Inakwambia, Ni "Popula Datting Network In The Word.
Unachagua Kuwajua Wanawake Au Wanaume Tu.
Anapigwaje burebure?Kwa hiyo unapigwa burebure na wanaume wako wote?? Njoo PM maana wanawake kama nyie ndio tunaowataka