Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Huu mtandao wakipuuzi sijawai kuona..yaan wadada wamejitoa ufahamu,wanauza waziwaz..yaan hiii applcn niitoa ktk simu yangu ndan ya 24hrs.
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Mpe ahadi baadae akikumbusha mwambie BADOO sijapata
 
Huo Mtandao Ni Wa Datting Na Hakuna Kingine. Ukitaka Mpaka Mashoga Unawapata Muke Na Hakuna Kukataliwa Ila Ni Pesa Yako Tu.
Wakat UnaInstall Description Yake Inasema, The Popular Datting Network In The Word, Maneno Kama Hayo Nafikiri.

Kwa Wale Wazee Wa Mizigo Wasopenda Usumbufu, Badoo Ndo Penyewe Kule Ni Pesa Yako Hakuna Figisu.
 
Mwisho wa siku wabongo ndio tunaotumia mitandao vibaya walioanzisha walikiwa na maana yao ndomana kuna app hadi ya ku date
Kwa Badoo Ni Tofauti Na Unachosema, Waloanzisha Wameanzisha Kwa Dhumuni La Datting Na Wameandika Kabisa.
Mule Mpaka Mashoga Wamo
 
mimi nina miaka miwili nipo huko mbona sijaona hao malaya,haiwezekani mtu unachokoza watu huko alafu ukiombwa hela unakimbilia huku kulalamika,yaani hawezi kukuomba kama hakuna series flan ya maongezi.
Mkuu Ile Ni Datting Network Hata Wenyewe Wameandika Pale.
 
Mbona rahisi tu mkuu, jiunge, andika jinsia ya watu unaowataka na miaka yao kwa uwiano,mfano kuanzia 18 hadi unayotaka mwenyewe, ruhusu huo mtandao usome eneo ulilopo ili ukuletee warembo walio karibu na wewe.

NJia ya kwanza rahisi ni kulike kila picha ya mrembo aliekuvutia, akilike back mnaweza chat na mkahamia kwenye whatsapp na meseji za kawaida baada ya kubadilishana namba za simu.

NJia ya pili unalipia kiasi flani kwa muda flani hapo unapewa haki ya kumtumia meseji yeyote unaemtaka, akijib mkachat mkakubaliana mnatoka kwenye mtandao mnahamia kitandani.
Wewe Hufai Ndugu Yangu, Yani Nilitaka Tufungue Huduma Ya Maombezi Lakn Inaonekana We Ni Mdahambi, Sasa Basi Hata Namba Yangu Futa [emoji3] [emoji3] [emoji3] Umenchekesha Sana Mkuu
 
Badoo was created for a good cause, however most of Tanzanians' are using it to satisfy their sexual agenda.
Big No Mkuu, Hata Ukiwa UnaIstall Badoo Kwa Simu Yako Inakwambia, Ni "Popula Datting Network In The Word.

Unachagua Kuwajua Wanawake Au Wanaume Tu.
 
Badoo Ni Social Media Lakn Special For Datting.
Ukiwa UnaIstall Inatoa Ujumbe Wa Datting Network Na Si Na Hakuna Ujumbe Mwinge.

Badoo Haina Features Kam zilizopo Kwa Fb, Jf, Twita Wala Instagrm.

Badoo Haina Sehemu Ya Kuandika Status Wala Haina Sehem Ya Kuchangia Mawazo Isipokuwa Mtu Na Mtu Ndio Mnaweza Kuchat Faragha.

Badoo Inakupa Nafasi Ya Kuchagua Kukutana Na Jinsia Fulani Tu Na Hata Mashoga Wamo Japo Hawako Wazi Sana.

Badoo Unaweza Kuweka Picha Zako Na Hakuna Wa Kuziona Kama Umeweka Paswed Na Pia Hata Ukiziweka Waz Basi Ni Mpaka Mtu Aingie Kwa Akaunt Yako Na Hata AkiLike Hiyo Picha Atakayeona Ni Mwny Picha Na Si Mwingine.

Badoo Ipo Kwa Mahusiano Ya Kimapenzi Na Si Vinginevyo.
 
Big No Mkuu, Hata Ukiwa UnaIstall Badoo Kwa Simu Yako Inakwambia, Ni "Popula Datting Network In The Word.

Unachagua Kuwajua Wanawake Au Wanaume Tu.

So, is dating a bad thing?!
Most times the problem is " on our usage of these social networks"...
There are those who are using jf in a good way and those who are using it in a very bad way.
 
Letwno ushahidi kwa aliyekula au anayekuka watoto wa Badoo. Acheni stori
 
Back
Top Bottom