Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Badoo Ni Social Media Lakn Special For Datting.
Ukiwa UnaIstall Inatoa Ujumbe Wa Datting Network Na Si Na Hakuna Ujumbe Mwinge.

Badoo Haina Features Kam zilizopo Kwa Fb, Jf, Twita Wala Instagrm.

Badoo Haina Sehemu Ya Kuandika Status Wala Haina Sehem Ya Kuchangia Mawazo Isipokuwa Mtu Na Mtu Ndio Mnaweza Kuchat Faragha.

Badoo Inakupa Nafasi Ya Kuchagua Kukutana Na Jinsia Fulani Tu Na Hata Mashoga Wamo Japo Hawako Wazi Sana.

Badoo Unaweza Kuweka Picha Zako Na Hakuna Wa Kuziona Kama Umeweka Paswed Na Pia Hata Ukiziweka Waz Basi Ni Mpaka Mtu Aingie Kwa Akaunt Yako Na Hata AkiLike Hiyo Picha Atakayeona Ni Mwny Picha Na Si Mwingine.

Badoo Ipo Kwa Mahusiano Ya Kimapenzi Na Si Vinginevyo.
Umefafanua vizuri
 
Lugha uliotumia kwa dada zetu haina staha, inaudhi, kama ungetumia lugha nzuri naamini ujumbe wako ungefika vizuri zaidi. Usiwaite wanawake malaya kwani huo umalaya wanajichua au wanakutana na malaya wa kiume? Hawa ni dada na mama zetu waheshimu haitakupunguzia chochote ktk maisha yako.
 
Mi nakataaaa nachat badoo huu mwaka wa tano sijawah mvulia mwanaume nguo. Na ukiongelea kuhusu nn, Kuna wanaume wanalugha za ajabu mule badoo heeeeee...!!!! Yaaan.. Alaf ndo mnasema wanawake wa mule kha!!! Ila utakavyokua unachat na mtu, the you present your self ndivyo watakavyocheza na ww.
 
Wewe dada acha uzushi,,badoo unachat na nani na unachat nini? Na wewe ni demu wa mtandao
 
Tatzo ww ushajiwekea fikra kila anaechat badoo ni malaya, kwanza nachat na wanawake na wanaume. Inaitegemea unainteract vp na hao watu.
Kwani huwa mnachat nini?? Maana mle unakutana tu na unknown person na washasema kabisa ni mtandao wa dating.
 
Kwani huwa mnachat nini?? Maana mle unakutana tu na unknown person na washasema kabisa ni mtandao wa dating.
Kumbuka wakat unajoin unajaza unataka nn mule, friendship or dating. Kwhyo ukiweka dating lazma utawapata. Ukieka friendship unakua unachat na wakawaida saaana. Ila changamoto zpo. Kuna miwanaume iliyokosa adabu, kazi yao kuchfua Hali ya hewa. Ukikutana na kama huyo. Unampotezea chatting zake
 
Acha kujitetea,badoo ni umalaya tu,mwanamke anaejiheshimu hawezi kuwa badoo
 
mimi nina miaka miwili nipo huko mbona sijaona hao malaya,haiwezekani mtu unachokoza watu huko alafu ukiombwa hela unakimbilia huku kulalamika,yaani hawezi kukuomba kama hakuna series flan ya maongezi.
Well said.
Tatizo mitandao inatumika ndivyo sivyo.
 
Mbona rahisi tu mkuu, jiunge, andika jinsia ya watu unaowataka na miaka yao kwa uwiano,mfano kuanzia 18 hadi unayotaka mwenyewe, ruhusu huo mtandao usome eneo ulilopo ili ukuletee warembo walio karibu na wewe.

NJia ya kwanza rahisi ni kulike kila picha ya mrembo aliekuvutia, akilike back mnaweza chat na mkahamia kwenye whatsapp na meseji za kawaida baada ya kubadilishana namba za simu.

NJia ya pili unalipia kiasi flani kwa muda flani hapo unapewa haki ya kumtumia meseji yeyote unaemtaka, akijib mkachat mkakubaliana mnatoka kwenye mtandao mnahamia kitandani.
kweli wewe ni lost id? unazingua watu Mkuu
 
Back
Top Bottom