Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Jamani naongea kwa machungu na masikitiko makubwa mno.

MKASA: Leo katika pekua pekua zangu mtandaoni nikasema ngoja nipitie mtandao wa badoo nijue nini kinaendelea huko...[emoji779] LAHAULA ile nimeingia nikasign in tu muda kidogo txt zina miminika nikajiuliza maswali huku mbona watu wakarimu hivi[emoji15] [emoji15] [emoji15] baada ya muda nikawa naulizwa vipi na kukaribishwa kula UBWABWA mnaweza kudhania natania ila kiukweli nimeshangaa sana, siyo mmoja tu bali kwa dakika kama 10 nikiwa on nimepata txt nne.

Nikasema ngoja nijue hasa interest yao hasa ni nini mpaka wameamua kujinadi hivyo cha ajabu wanatumia lugha ya ukarimu kuliko ata dada zetu. Kiukweli nimeogopa sana sikujua khali imefikia hapa wasiwasi wangu serikali inajua kinachoendelea??

Upande wa pili nao siyo haba biashara inaendelea eti, nimetoka nikiwa nimekata tamaaa kabisa kama vijana hasa wa kiume wameamua kujitoa kupikwa UBWABWA kwa idadi kubwa ile binafsi nimeogopa na kutambua taifa LIMEISHA BUNGULIWA KIASI CHA KUTOSHA JUHUDI ZA ZIADA ZINATAKIWA KIUKWELI.

Nipeni pole mwenzenu nimeigopa sana jamani sikujua kama tumefikia huku.
Mkuu we unaishi wapi kwani? ndo unajua leo wenzio tumeanza kuyaona haya mambo mwaka 2013
 
Nilipataga free p, mtoto alikua ana mabanda ya uani si mchezo... Nlipiga kama miezi mi3 hivi, akawa kaganda, kubanduka hataki kazi nlikua nayo...
 
Niliwahi kukiunga huko kama sikosei mwaka Jana ndani ya muda mfupi kidume nikajikuta nimetongozwa Mara nyingi ila kwa upendo wa ndoa yangu faster nili delete ile app
 
Ngoja nikajiunge ili nithibitishe haya uyaongeayo!
Mkuu acha kabisa wanaujasiri wa ajabu nimetumiwa picha ananiuliza unatumia hii kitu..! Nikamuuliza mademu wameisha? Akamind kishenzi.
 
Back
Top Bottom