Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Hizi mambo zilinipata Kule fb mwaka 2011, nilipata friend demu wa Nairobi, katika mawasiliano tukajikuta tumepeana namba za simu, basi mwendo ukawa ni SMS kuanzia asubuhi mpaka usiku, mahaba kibao unaambiwa..basi kama zali nikapata issue ya kwenda Mombasa, nikampanga mtoto kuwa kama akiweza asogee,bila ngwasi akakubali kuwa atakuja,,basi Mzee baba njia nzima ndani ya Tahmeed ni mawazo tu juu ya mtoto JS na jinsi nitakavyomkaza tukikutana,.Mara paap Likoni, nikamcheki mtoto hewani akasema kesho yake jioni ataanza safari Nai-mbsa kwa hiyo nimtumie nauli kshs 1200,mnh machale yakanicheza nikamwambia alipe then akishafika nitamrudishia, basi duh! Kuanzia hapo urafiki ukaanza kupungua na mpaka sasa hata wishes za birthday hajibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikoswakoswa kaka...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…