Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

i met a man at badoo...2015 mwanzoni..haukua mtandao ulioshamiri umalaya kama sasa.
tulifahamiana ila mi mtt wa kike kwa kudengua na mapozi hadi nakera..nliunstall hiyo app but still mkaka ananitafuta tu plz j tuonane niwe rafiki ako...nkamzungusha wee baada ya miezi akaniambia mi naondoka naenda abroad kusoma.alupofika huko tukaendelea kuwasiliana akafunguka tuanzishe relationship.tukawa in distance relatipnship mwaka mzima..mwenyewe baadae akazingua.
but nlimpenda na alinipenda mno..ni mtu aliekua ananielewa sana.
hakuna namna tena.
Acha uongo mimi nimefanyia umalaya badoo mwaka 2012. Badoo ni umalaya siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Principle wanaume iwe ni no kutuma hela hata alie njaa vip, mm mmoja nimemtukana fb leo namtongoza anapiga chenga et ww mme WA mtu.
Punde si punde nitumie hamsini nije , nikasema njoo nakupa 30, haya nitumie ndo nije.
Nikamwambia hio haiwezekan siwez kuamn et ooh sijiuz.
Nimemtukana sana nikamwambia ww bora wale wanao kaa barabaran ww unajiuza ila hujui tu.
Na huko badoo wengi wanajifanya matawi ila njaa sana story kibao zanje, na kujifanya umr mdgo halafu kwao get kali au wao Wachuo.
ukishoboka unapigwa ila ukiwa imara unawala hata kwa ten.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matapeli nazid kuwakomesha.
Screenshot_20190127-185936.jpeg
Screenshot_20190127-185947.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu signature yako inatisha sana...
Ila Yesu/Nabii Issa anasema msamehe mwenzako “…hata saba mara sabini” Matayo 18:22. Tunapomkosea Mungu anatusamehe na kutuponya si roho zetu tu bali hata magonjwa ya miili yetu, “Akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote” Zaburi 103:3, hivyo basi tunaposamehe wenzetu, wanapona roho na mwili, kama vile sisi tunavyopona tunaposamehewa na Mungu, Ndugu "MERAKI" samehe jamani..

Acha uongo mimi nimefanyia umalaya badoo mwaka 2012. Badoo ni umalaya siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom