Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Acha uongo mimi nimefanyia umalaya badoo mwaka 2012. Badoo ni umalaya siku zote.i met a man at badoo...2015 mwanzoni..haukua mtandao ulioshamiri umalaya kama sasa.
tulifahamiana ila mi mtt wa kike kwa kudengua na mapozi hadi nakera..nliunstall hiyo app but still mkaka ananitafuta tu plz j tuonane niwe rafiki ako...nkamzungusha wee baada ya miezi akaniambia mi naondoka naenda abroad kusoma.alupofika huko tukaendelea kuwasiliana akafunguka tuanzishe relationship.tukawa in distance relatipnship mwaka mzima..mwenyewe baadae akazingua.
but nlimpenda na alinipenda mno..ni mtu aliekua ananielewa sana.
hakuna namna tena.
Sent using Jamii Forums mobile app