Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Ona huyu nilikua namjaribu.Yaan nyuchi sikuizi zinauzwa kama unanunua wembe dukani.
Screenshot_20191111-170240.jpeg
 
Kama kichwa hapo juu.

Nimehangaika sana na hawa watoto wa Badoo yani inakuwa kama naanza na stories mob ila mwishoni naishia kufeli.
Wenye uzoefu na hii mambo naombeni ushauri, techniques, tactics, tricks na strategies za kuwapata hawa watoto.
Nimesikia success stories nyingi za watu Ku-hook up nao na mimi nimetamani.

Msaada please.
 
Kweli maisha yanatofautiana, nakosa demu wa Badoo?

Umenikumbusha ule wimbo wa Sina demu, kama unavyoniona mpenzi. Jamaa demu kaliwa karibu na mtaa mzima ila yeye ananyimwa, alijiona mikosi kweli.
 
Yaani hadi kula malaya wa badoo unaomba ushauri, mbona ni rahisi sana aiseee.

1. Unaweza kutumi account ya kawaida tu, like picha yake akilikr back mnachat mnahamia whatsapp kinachofuata ni mtu kutafunwa na biashara inaishia hapo.

2. Unaweza kulipia ile subscription ili upate exclusive rights za kuwatumia meseji warembo moja kwa moja bila kusubiri alike picha yako, hapo unapata warembo wa kutosha kinachofuata happ ni mtafuno wa kufa mtu biashara inaishia hapo.

Binafsi nimefuta account yangu badoo sababu nimechoka malaya wa huko, pia mashoga, malaya wachafu wamevamia badoo inakua kero. Nakushauri uhamie tinder, tantan, nk. Ila eskimi, badoo, hitwe malaya wake uwe makini.

Ninafsi nimewahi kupata bahati ya kula watoto wazuri sana badoo, hitwe na tantan. Sasa niko tinder, meet me, namitandao kadhaa.

Ushauri: Usitume nauli kwa demu yoyote wa mtandaoni, usijaribu utaibiwa. Kama anataka kuja mwambie achukue boda utalipa au muitie uber, mademu wa badoo ni matapeli na mengine hua ni madume, usije kuhubutu kutuma nauli ndugu yangu.

Kila la heri.
 
Back
Top Bottom