Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mkuu Hakimu umenichekesha sana
 
Kiugupi haujui kutongoza
 
Yaani kuna msela wangu alikuwa anatongoza mademu sana kulee yaani wengi sjui wanakuwa desperate yaani hawaombi ela na wala sio wa vizinga sana
 
Dah! Kazi mnayo. Hivi hao wanaume wanaofanya hivyo wanakuwa ni wale wenye jinsia yenye mgogoro au ni hawa kama sisi sema tu maisha yamewapiga ?

Kuna mtu alikutahadhalisha hapo juu kuwa inawezekana kuna mtu anatumia picha za huyo dada, maana yeye anamfahamu in person huyo dada.
 
Kongole Lejendi.
 
Check na mshikaji mmoja hapo mbeya town haule mtaalamu sana wa badoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…